Wakuu hivi IMF/WORLD BANK kuna ngozi nyeusi yoyote ishawahi kuongoza

Kwani tatizo liko wapi? Nyinyi undeni na nyinyi vyombo vyenu vya kifedha mpate kuviongoza wenyewe. Hayo ma IMF sijui ma World Bank yameundwa na wazungu. Acheni kulilia kushika nyadhifa kwenye vyombo ambavyo hamjaviunda.

Si muunde vya kwenu tu. Au hamuwezi? Mtashobokea vya wazungu hadi lini? Mimi nadhani hamuwezi kuunda vya kwenu ndo maana kutwa kucha mnalilia vya wazungu. Kama mba ubavu basi undeni vyenu. Simple as that.
 
mkuu sio hivyo sema point ilikuwa kwann waafrika hawapewi uongozi wa juu'halafu unataka world bank ziwe ngapi
 
my point kama wote tukiwa member wa hizo organization kwann kusiwe na changes kwenye post ya juu hii ingesaidia kubadilisha sheria kandamizi kwa nchi masikin

kama mmeona kuna sheria kandamizi na hakuna la kufanya kubadilisha ndo maana mdau hapo juu akakwambia tuanzishe vyombo vyetu na sio lazima viitwe wb au imf,..tunaweza kuviita blacks bank kama unavyotaka weusi wako uwe priority,.hivi koffi anaan alipokuwa bosi wa UN alifanya nini kuwasaidia watu weusi zaidi ya kuwa kibaraka mpole kama msukule!obama je?anamwaga madola africa au??
 
Tuache kuwa wanachama tuunde na sisi vya kwetu ili nao waje kuomba uanachama na sisi tu call the shots for once. Usitegemee fadhila toka kwa hao watu. Wao hawakutegemea fadhila toka kwetu.
 
mkuu tatizo nalolio hapa africa hatuna umoja kabisa hata tukianzisha hivyo vitu still havitapata support kubwa kwa sisi waafrika
 
Tuache kuwa wanachama tuunde na sisi vya kwetu ili nao waje kuomba uanachama na sisi tu call the shots for once. Usitegemee fadhila toka kwa hao watu. Wao hawakutegemea fadhila toka kwetu.

mkuu una point kidogo hapo sema hata tukiunda tatizo letu hatuna umoja'but hivi kwanini tusirise ile pointi ya utumwa again tuwanadai hawa watu
 
Sana sana weusi wanaishia u regional director. Yale ni mashirika ya wazungu kaka. Ila km ujuavyo bosi wao yuko segerea ya new york. Sarkozy mbaya.
 
rumors zinasema jamaa alitaka kiti cha sarkozy ndio wakamfanyia fitna
 
hacheni utani tupewe WB na IMF
you must be joking broo
BOT yetu tumei-EPA
Huko si tutakodisha ndege ya mizigo kubabe pesa ya wezi (ufisadi)
 
  • Thanks
Reactions: Ame
kwani hizo sheria za kujiwekea haziwezi pitiwa upya tena kuwa atleast na uwasa

Zitapitiwa tukipata nguvu ya kiuchumi tatizo ni je ipo will ya sisi kuwa na hiyo nguvu? Development inakuja na complication nyingi sana moja wapo ni matumizi makubwa ya energy na other world resources ambazo kama sote tutaendela basi maisha ya dunia (life span) itapungua so hao ki aina wanaangalia hayo japo hawatuambii wazi wazi...
 
Tuache kuwa wanachama tuunde na sisi vya kwetu ili nao waje kuomba uanachama na sisi tu call the shots for once. Usitegemee fadhila toka kwa hao watu. Wao hawakutegemea fadhila toka kwetu.

Sijui kama watatuacha tufikie hiyo level; tatizo ni kuwa kabla hatuja jiorganize watakuwa walisha tuvuruga nakuishia kupigana na hiyo ikitokea wata i publicize hiyo ili kutu intimidate kwamba bila wao hatuwezi na ku brainwash mind zetu kuwa bado tuko uncivilised. Bado tuko utumwani ila Mungu karibu anatukomboa kwani Brazil; India na China wamesha break even na wao population yao inaendelea kupungua huku vijana wao wakifurahia maisha zaidi kuliko ku invest kwenye education...God will one day give us our Moses!

Hao hao ma regional direct ndiyo wanyampara wetu na sisi manamba na ndiyo ambao watakuwa wakwanza kuleta nuksi maana wao sasa wanafaidi kwa niaba yetu ili watu angalie kwa umakini tusifurukute. Ukitaka ku prove angalia list ya important people nchini na mkulu wa BOT lazima awe amesha pata dose yao na ndiye mwenye keki kubwa maana ana belong to the meza ya mfalme.
 
Sijui kama watatuacha tufikie hiyo level; tatizo ni kuwa kabla hatuja jiorganize watakuwa walisha tuvuruga nakuishia kupigana na hiyo ikitokea wata i publicize hiyo ili kutu intimidate kwamba bila wao hatuwezi na ku brainwash mind zetu kuwa bado tuko uncivilised. Bado tuko utumwani ila Mungu karibu anatukomboa kwani Brazil; India na China wamesha break even na wao population yao inaendelea kupungua huku vijana wao wakifurahia maisha zaidi kuliko ku invest kwenye education...God will one day give us our Moses!

point mkuu
 
Kwani tatizo liko wapi? Nyinyi undeni na nyinyi vyombo vyenu vya kifedha mpate kuviongoza wenyewe. Hayo ma IMF sijui ma World Bank yameundwa na wazungu. Acheni kulilia kushika nyadhifa kwenye vyombo ambavyo hamjaviunda.

Si muunde vya kwenu tu. Au hamuwezi? Mtashobokea vya wazungu hadi lini? Mimi nadhani hamuwezi kuunda vya kwenu ndo maana kutwa kucha mnalilia vya wazungu. Kama mba ubavu basi undeni vyenu. Simple as that.
BOT tu ipo dhoofu li hali ndo mkaendeshe WB? Hebu tuwe serious jamani
 
Sana sana weusi wanaishia u regional director. Yale ni mashirika ya wazungu kaka. Ila km ujuavyo bosi wao yuko segerea ya new york. Sarkozy mbaya.
Nyie mlidhan mk.we.re ndo mpika majungu pekee duniani??? Tembea uone....
 
Tumeshapewa nafasi nyingi tu, kama tumeshawahi kupewa ukatibu mkuu wa UN sembuse hayo mashirika? Tatizo hapa ni kwamba hata tukipewa nafasi hizo Afrika haifaidiki na lolote kwa kuwa pale kwenye post unakuwa kama roboti tu, kutekeleza maamuzi ya super powers basi. Rose migiro ni naibu katibu mkuu wa UN, lakini UN imetoa kibali cha NATO kuishambulia libya, hivyo hata tukipewa nafasi hizo kazi yetu inabaki ndiyo mzee basi, super powers sio mchezo, kama afrika tunataka kuokoka na masaibu ya dunia hii dawa ni kuungana ili tuwe na nguvu ya kiuchumi na kijeshi na hivyo kuwa super power.
 
Wakuu ni swali za kizushu hivi haya mashirika ngozi nyeusi kwanini hatupewi kuongoza?

Ngozi nyeusi iongoze kwani ina share kiasi gani humo? Wewe unadhani WB na IMF ni vyombo vya kisiasa! Kwa taarifa yako wamarekani ndiyo wenye kura ya veto ya kuamua nani awe kiongozi wa juu kwa sababu mchango wao kwenye hivyo vyombo ni mkubwa sana. After all, hata ngozi nyeusi ikipata, unadhani tutafaidi nini!? Hakuna lolote la maana! Mbona mashirika makubwa kama UN tumeyakalia lakini hakuna la maana tulilofanya!
 
Back
Top Bottom