Wakuu hii ndoto inanitesa sana

UNIQUEMAN1

JF-Expert Member
Mar 20, 2018
378
448
Kiufupi. Nilipokuwa shule ya msingi nilikuwa na rafiki wa utoto. Kwa bahati mbaya aliachia la 6. Siku moja tupo juu ya mti Wote tunakata tawi la mti. Ghafla alisikika mchunga mbuzi anapiga yowe, nyokaa nyokaa Rama nyokaaa! Basi yule rafiki yangu Rama akaniambia vp nishuke? Nikamuambia ndio. Aliposhuka na kumfuata yule kijana, tawi lilianguka na kwenda kupiga sehemu aliyokuwa amekalia. It means lingemkuta angefia pale pale

NDOTO YENYEWE : Imekuwa karibu kila siku namuota yule rafiki tupo naye kwenye kundi la nyoka wengi. Au kila nikiota ndoto mbaya lazima awepo tu. Mara naota anadondoka kwenye shimo reefu tunashindwa kumuokoa.. Hii ndoto itaishaje maana imepita miaka 26 hivi ndo naanza kuota hayo. Mwanzo haikuwepo. Hatukai pamoja yapata miaka hiyo 26 ila yupo kijijini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi mkiw kwenye kundi la nyoka nani anskua anapambna kumwokoa mwenzake? au wote mnakuwa ktk hali ya kuhangaika?

nyoka ktk ndoto inaweza kumaanisha ni namna gani umezungukwa na maadui au wtu wabaya wanopanga mipango mibaya dhidi yako au yenu... wengine wataendeleza
 
Mtafute mjulie hali pia mkumbushe kuomba kulingana na imani yake huenda ana vifungo vimemuandana saidianeni kuviondoa.

Upande wa pili huenda kuna baya alikufanyia wewe mkiwa marafiki enzi zile na bado maagano yale yanamtesa mpaka wa Leo. By the way Tajiri halogeki kama upo vizuri kiuchumi hata kiroho lazima uwe vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtafute mjulie hali pia mkumbushe kuomba kulingana na imani yake huenda ana vifungo vimemuandana saidianeni kuviondoa. Upande wa pili huenda kuna baya alikufanyia wewe mkiwa marafiki enzi zile na bado maagano yale yanamtesa mpaka wa Leo. By the way Tajiri halogeki kama upo vizuri kiuchumi hata kiroho lazima uwe vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Na vipi individually ukiota upo ktk kundi l nyoka unapmbana japo si kwa kuwauwa ila unajaribu kuwakwepa au kuwaruka kwa namna fulani ya ajbu inakuwa inamanisha nini
 
Mtafute mjulie hali pia mkumbushe kuomba kulingana na imani yake huenda ana vifungo vimemuandana saidianeni kuviondoa. Upande wa pili huenda kuna baya alikufanyia wewe mkiwa marafiki enzi zile na bado maagano yale yanamtesa mpaka wa Leo. By the way Tajiri halogeki kama upo vizuri kiuchumi hata kiroho lazima uwe vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiuchumi, kiufupi nafanya serikalini lakini pesa sijui inavyoyeyuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vipi mkiw kwenye kundi la nyoka nani anskua anapambna kumwokoa mwenzake? au wote mnakuwa ktk hali ya kuhangaika?

nyoka ktk ndoto inaweza kumaanisha ni namna gani umezungukwa na maadui au wtu wabaya wanopanga mipango mibaya dhidi yako au yenu... wengine wataendeleza
Mara zote nakuwa mwenyewe napambana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini hii ndoto nimeota zaidi hata ya 100 na zote hakosekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapaswa kuomba kwa Jina la Yesu Kristo na kuvunja kwa Damu ya Yesu Kristo kila kibaya kinachoashiriwa kwenye ndoto hii. Kwa ujumla kuota ndoto ya nyoka humaanisha kazi za mapepo au nguvu za giza katika maisha yako. Fanya hayo maombi na pia omba kujitenganisha kiroho na huyo rafiki yako kwani inaonekana mliunganishwa kiroho siku ile pale mtini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom