Wakuu hii imekaaje?

Amon Lisa

JF-Expert Member
Nov 20, 2018
211
451
Habarini wakuu.

Nisiwachoshe sana.

Nilikuwa napekua vitu vya home vya zamani, nikakutana na $20 ( 2006 series) pamoja na Ksh 500, 100( hizi zipo mbili).

Kwakuwa nilikuwa nimefulia chapu nikapanda boda hadi Dodoma town kutokea Kizota ili nikabadili, nipate Tsh.

Sasa bwana nimezungushwa kila bank mpaka mfanyakazi mmoja wa bank fulani alipo niambia, dollar wanapokea kuanzia 2009 series na sio yangu hii ya 2006 pia, hizi za Kenya ni 2010 hazitumiki kwa sasa. Hivyo nikaambiwa pesa zako zote ni INVALID.

Daaah, nikaumia kweli vile niliweka matarajio makubwa.

Nauliza, hakuna namna ingine naweza fanya?

IMG_0860.jpg
 
Mbona unakuwa na jazba Mkuu? Nawe ni mkazi wa kizota?

Dodoma town, namaanisha katikati ya mji.
Mimi sio mkazi wa huko, ila najua kuna ukumbi maarufu wa Kizota. Mikutano ya Chama ilikuwa ikifanyika hapo tangu enzi, nilikuwa nahudhuria frequently.

Pia nilijuzwa kuna eneo linaitwa Kizota hapo mjini, nilienda kulitembelea. Ilikuwa late 80's mpaka early 90's.

Mimi baba yako we dogo!! Tulisha balehee na kuanza kutafuna kabla hujazaliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wakuu.

Nisiwachoshe sana.

Nilikuwa napekua vitu vya home vya zamani, nikakutana na $20 ( 2006 series) pamoja na Ksh 500, 100( hizi zipo mbili).

Kwakuwa nilikuwa nimefulia chapu nikapanda boda hadi Dodoma town kutokea Kizota ili nikabadili, nipate Tsh.

Sasa bwana nimezungushwa kila bank mpaka mfanyakazi mmoja wa bank fulani alipo niambia, dollar wanapokea kuanzia 2009 series na sio yangu hii ya 2006 pia, hizi za Kenya ni 2010 hazitumiki kwa sasa. Hivyo nikaambiwa pesa zako zote ni INVALID.

Daaah, nikaumia kweli vile niliweka matarajio makubwa.

Nauliza, hakuna namna ingine naweza fanya?

View attachment 2203978
Hizo $ za 2006 mchina na mkorea walizidukua wakazifyatua kwa mabilioni na kuziingiza mpaka kwenye mzunguko ndani ya Marekani.. CIA ndio walikuja kufumua mchezo wote hivyo zikazalishwa mpya na hizo kupigwa marufuku ya matumizi
 
Aisee, Interesting!

Kuna mtu kasema Bank Kuu wanazipokea, inaweza kuwa kweli?
 
Mimi sio mkazi wa huko, ila najua kuna ukumbi maarufu wa Kizota. Mikutano ya Chama ilikuwa ikifanyika hapo tangu enzi, nilikuwa nahudhuria frequently.

Pia nilijuzwa kuna eneo linaitwa Kizota hapo mjini, nilienda kulitembelea. Ilikuwa late 80's mpaka early 90's.

Mimi baba yako we dogo!! Tulisha balehee na kuanza kutafuna kabla hujazaliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Unakaa Nkuhungu nakujua.
 
Back
Top Bottom