Wakuu hawa wanawake vip

mmh ila ki ukweli hata me ningewagegeda sana wanawake kuna raha mnapata wanaaume hatuijui..... ndo maana huwa mara nyingi ninyi ndo huwa mnaomba mchezo siku zote,.....

Kwan nyie hampati raha? Mbona na nyie huwa mnaomba michezo?
 
Ningepewa leo nafasi ya kuchagua ningechagua kuwa mwanamke,tena huyu huyu Ennie
 
Last edited by a moderator:
so ungejigegeda mwenyewe Ennie ?

Mimi ndio sijaelewa au?
Researcher alitaka kujua kama tungekuwa wanaume tungefanya nini,mimi sijawahi kutamani kuwa mwanaume!
Hata ningepewa leo nafasi ya kuchagua upya jinsia ningechagua kuwa mwanamke
 
Aiseee!!kua mwanamme kuna raha yake jinsi wanawake walivyo watamu vile eti mwanamme anadiliki kukibadili kwa kutumika kama mwanamke ndio nini!!
 
Wanajiheshimu ndiyo, kwa vile ni wanawake. Je wangekuwa wanaume wangejiheshimu vivyo hivyo?

^^
Unapotumia neno 'nge' ktk sentensi maana yake haiwezekani tena! Mf.ungekuwa mwanamke ungeleta post hii?
^^
 
Ila kumbuka umdhaniae ndiye kumbe siyee

^^
Naam,,hivi kwa mfano rahisi sana Ungekuwa mwanamke ungeolewa na kila mwanaume anaekutongoza?
Kuna mambo ktk nature hayabadiliki i.e why nikasema fanya research upya
^^
 
Wakuu nimefanya resarch yang binafsi ila nashindwa kuwaelewa wanawake yaan kila mwana mke ukimuuliza kama ungekuwa mwanaume ungefanya nini jibu la kwanza utasikia ningewagegeda wanawake mpaka wange koma sasa nacho jiuliza mbona cc tukiwagagada wanalala mika wakat kumbe wangekuwa na wao pia ni wanawake they would do the samething...

Regard
God with us
Na wewe umeuliza wanawake wangapi? Inategema wewe tabia yako na tabia za wanawake wale, mwanamke mwenye tabia nzuri hawezi kujibu swali kama hilo la kijinga.

Pili mwanamke anaye sema angependa kuzaliwa mwanaume lazima awe ana kasoro flani.

Sawa sawa na mwanamke aje aniulize ungezaliwa mwanamke ungefanya nini, ningemjibu mbona nimeisha zaliwa mwanaume sa watu wanazaliwa mara ngapi kwani? Sidhani we kama mwanaume huwezi kuwa very proud ya kuwa mwanaume unless una kasoro zako.
 
Upo sawa lkn wanawake weng nanapenda.wangezaliwa.wanaume hasa kwa.afrika nadhan hii inatokana na mfumo.dume na mambo mengne istoshe kuwa mwanaume ni heshima ndo maana hata watu weng wanapenda sana watoto wa kiume nadhan unalitambua hilo
 
Wakuu nimefanya resarch yang binafsi ila nashindwa kuwaelewa wanawake yaan kila mwana mke ukimuuliza kama ungekuwa mwanaume ungefanya nini jibu la kwanza utasikia ningewagegeda wanawake mpaka wange koma sasa nacho jiuliza mbona cc tukiwagagada wanalala mika wakat kumbe wangekuwa na wao pia ni wanawake they would do the samething...

Regard
God with us

Huyo uliemuuliza lazima atakuwa changudoa au ana hizo traits
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom