Wakuu hawa wanawake vip

god with us

JF-Expert Member
Oct 19, 2013
391
100
Wakuu nimefanya resarch yang binafsi ila nashindwa kuwaelewa wanawake yaan kila mwana mke ukimuuliza kama ungekuwa mwanaume ungefanya nini jibu la kwanza utasikia ningewagegeda wanawake mpaka wange koma sasa nacho jiuliza mbona cc tukiwagagada wanalala mika wakat kumbe wangekuwa na wao pia ni wanawake they would do the samething...

Regard
God with us
 
^^
Kaandae Research proposal upya,, ukimaliza urudie utafiti.
Kuna wanawake wanajiheshimu mpaka unaogopa.
^^
Wanajiheshimu ndiyo, kwa vile ni wanawake. Je wangekuwa wanaume wangejiheshimu vivyo hivyo?
 
nina wasi wasi na huo utafiti wako!
uliwauliza wasichana timamu au machangudoa!!!
 
Wakuu nimefanya resarch yang binafsi ila nashindwa kuwaelewa wanawake yaan kila mwana mke ukimuuliza kama ungekuwa mwanaume ungefanya nini jibu la kwanza utasikia ningewagegeda wanawake mpaka wange koma sasa nacho jiuliza mbona cc tukiwagagada wanalala mika wakat kumbe wangekuwa na wao pia ni wanawake they would do the samething...

Regard
God with us

ni kweli,maji hufuata mkondo,they definately could do the same,na ndio maana wamekujibu hivyo,lakini kama ilivyo kwa wanaume si wote wagegedaji wa ovyo,vilevile kwa ke si wote wangefanya hivyo,ni aina ya hao pia hata kwa hali asilia wao ni wagegedwaji holela.
 
Umesema kwel
 
ningelikuwa mwanamke! ningefanya aliyofanya camila wa shigongo!
 
Kumbe kungekuwa na nafas ya mwisho ya kuchagua unataka uwe vipi wengne wangetaka kuwa wanaume!! Labda,ila mie najivunia kuwa mwanamke
 
mi mwenyewe nshakutana nao wengi huwa wanasema hivyo hivyo.. halafu mwishoni anakuambia we siku nikikukuta na mwanamke mwingine utanijua mi nnani!
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom