Wakuu hawa street univesty vip? Nimeona matangazo yao huku arusha kwamba watato mafunzo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu hawa street univesty vip? Nimeona matangazo yao huku arusha kwamba watato mafunzo

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by CHASHA FARMING, Nov 6, 2011.

 1. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #1
  Nov 6, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,129
  Trophy Points: 280
  Eric Shingongo na mwenzake jems wamebandika mabango yao huku a town kwamba wataendesha semina ya ujasiriamali kwa watu wa arusha na kiingilio ni buku 5.

  Niliwahi tazama dvd ya huyu jamaa ya street univesty sikuona c kuona cha maana sana, c jajua kwa haya mafunzo yao ndo bado wanataka kuleta story za kwenye ile dvd yao au vip
   
Loading...