Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,885
Hizi ishu baadaye huwa mtaji mkubwa sana. Wale followers wanakuja kuwa wateja wazuri. Hata ukiamua kuanzisha kakitu tayari unakuwa na wateja wa kutosha.
Ningekuwa nipo active huko toka zamani leo nisingekuwa nahngaika kujitangaza.
Tusidharau facebook, insta na Twitter. Fungua account na ikuze, itakuja kuwa msaada mbele.