Wakuu ebu jionee haya mambo!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu ebu jionee haya mambo!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Akili Unazo!, Oct 7, 2010.

 1. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2010
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,793
  Likes Received: 2,460
  Trophy Points: 280
  Siku ile akiwa mbele ya wazee wa Dar, JK huku akiwaita wafanyakazi Mbayuwayu alitamba sana akisema mimi ndiyo Mwajiri wa wafanyakazi wote hivyo atakayegoma nitamfukuza kazi. MPENDWA MFANYAKAZI NASI WAKATI WA KUTAMBA UMEFIKA, TAREHE 31/10/2010 KWA NGUVU ZOTE MBELE YA KARATASI YA KUPIGIA KURA NENDA KASITISHE AJIRA YAKE.

  MWAJILI DR.SLAA AMBAYE ATAJALI MASLAHI YA WAFANYAKAZI. TUMA UJUMBE HUU KWA WAFANYAKAZI WOTE UNAOWAJUA, OKOA TAIFA LAKO LA TANZANIA MWAKA HUU UWE WA KIHISTORIA

   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  mkuu, toa email za watu hapo kwenye post.....edit.
   
 3. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,251
  Trophy Points: 280
  Mkuu mbona umewachonge wafanyakazi wa tanesco??kabla ya uchaguzi??edit topic bwana!!au umeamua kuwasasambua??au kama ulivyo katika user name yako??watu wengine bwana hawajui personal privacy
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,458
  Likes Received: 5,845
  Trophy Points: 280
  Kweli dadaangu...huyo wa TANESCO namuonea huruma.....kalianzisha
   
 5. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2010
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mods mko wapi jamani?
  huyu aliyeleta hii thread ni walewale ameamua kuwaanika hawa watu kwa lengo la kuwakomoa....na yeye anaonekana yuko upande wa pili.....
  sms za kuhamasishana kama hizi hazihitaji kuwa na chanzo....huyu ni mzushi,mtupilieni mbali
   
 6. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2010
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Mod. tafadhari rekebisha hii. Isn't this name calling? ondoa hizo e-mail za watu tafadhali
   
 7. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2010
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,793
  Likes Received: 2,460
  Trophy Points: 280

  Nimewachongea nini wakati nimekuonyesha jinsi watu wenye mamatizo wasivyojua kutatua matatizo ila wanataka kuyaendeleza?Hivi unafahamu kuwa kupitia TANESCO ndo maana hali ya maisha inakuwa ngumu kwa kila sector?sasa hao wanaotumiana si wafanyakazi wa TANESCO anyway inawezeana hukuwa umenielewa ila nilishaedit kukidhi haja ya moyo wako.
   
 8. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2010
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Inaelekea ni kama vile umelazimishwa ku-edit. jaribu kutumia ufahamu japo kidogo. we have no problem with the message, tatizo why exposing their names? umewaomba ruhusa ku-expose personal e-mail zao? do you realy knoew the impact? unahitaji kwenda tena darasani nadhani.
   
 9. T

  Tall JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  ........labda tanesco wanamzunguusha kumuunganishia umeme?
   
 10. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,251
  Trophy Points: 280
  Asante sisi nikwa sababu zakiusalama kazini no else!
   
 11. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #11
  Oct 7, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  hata hizo emails za tanesco ilibidi kutolewa hapo ni marufuku kabisa kuweka personal emails ndani ya jukwaa kama huna ruhusa ya wamiliki wa emails hizo yaani shirika la tanesco au shirika lingine lolote
   
 12. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,895
  Likes Received: 416,601
  Trophy Points: 280
  Chagua Chadema - Chagua Dr. Slaa - Chagua maendeleo ya kweli kweli siyo utani wa CCM na Jk wake
   
 13. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #13
  Oct 7, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mkuu lengi ni zuri, lakini exposing them ni mbaya sana! Zimetoka tuendelee. Si ndo maana humu hakuna mwenye true ID!!!
   
 14. l

  lwangwa Member

  #14
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Poa jk anajifanya mbambe kwanza amejialika kwenye mkutano huko songea huyu jamaa anamatatizo gani alkini taarifa ni kwamba hata darasani alikuwa hanauwezo kazi tu mademu ukienda tanga tec utaona likuwa nashika nafasi ya ngapi kimasomo safari hii ni lazima tumwadhibu pamoja na chama chake
   
 15. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #15
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  CHADEMA daima na milele
   
 16. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #16
  Oct 7, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Duh aisee mapambano ya kiuwoga. Jamaa amekosea kuwaanika watu lakini angalau tunapata picha halisi kuwa wengi wanapambana huku wamejificha. Leo hii watu wakikusanywa wakaulizwa hata huko maofisini kwao, Nani haitaki CCM? Woote watanywea.
   
 17. b

  bojuka Senior Member

  #17
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msiogope yeye jk alitutisha wakati siku ile na sisi 31 oct 2010 tunammaliza kiulaini .
  Dr. Slaa the president.
   
 18. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #18
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kwa kweli mimi sitawaelewa wafanyakazi watakaompigia kura mheshimiwa, after yote aliyosema!
   
 19. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #19
  Oct 8, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ujumbe ulipaswa kusomeka hivi:

  Ndugu Wafanyakazi wenzangu,

  Tumedhalilishwa sana, Tumenyanyasika sana, Tumeonewa sana, Tumepuuzwa sana na Serikari ya CCM kwa mda mrefu sana!

  Sote Tunakumbukumbu nzuri kabisa Siku Raisi Jakaya Kikwete aliipotoa hotuba yake ya kibabe, iliyojaa kejeli na dharau kwetu sisi wafanyakazi tunaendelea kupigika mbele ya wazee wa Dar Es salaam,

  Raisi Kikwete alidiriki kutufananisha sisi wafanyakazi na Mbayuwayu alitamba sana na kututisha akisema "mimi ndiyo Mwajiri wa wafanyakazi wote hivyo atakayegoma nitamfukuza kazi" na kutupa vitisho vya kupigwa na Jeshi la polisi.

  MPENDWA MFANYAKAZI MWENZANGU NASI WAKATI WA KUTAMBA UMEFIKA, TAREHE 31/10/2010 KWA NGUVU ZOTE NA MBWEMBWE ZOTE MBELE YA KARATASI YA KUPIGIA KURA TWENDE KWA PAMOJA KUSITISHA AJIRA YA JAKAYA KIKWWETE, TUMFUTE KAZI KWANI AMESHINDWA KUHESHIMU MCHANGO WETU NA HESHIMA YETU KAMA MIONGONI MWA WANANCHI TULIEMPA KAZI.

  HUU SI WAKATI WA KULALAMA TUPIGE KURA YA MABADILIKO, KWA SABABU VIPATO VYETU HAVITOSHELEZI KUHIMILI MFUMUKO WA BEI AMBAO NI MKUBWA SANA! ULIOCHANGIA MAISHA KUWA MAGUMU KILA KUKICHA NA TUNAZIDI KUPIGIKA NA KUWA MASKINI ZAIDI IJAPOKUWA TUNAFANYA KAZI KWA BIDII, WAKATI RAISI KIKWETE ANAWAKUMBATIA MAFISADI NA WAPORAJI WA RASILIMALI ZA TAIFA.

  TUMWAJILI MTUMISHI ATAKAE TUSIKILIZA NA KUTUHESHIMU NA KUTATUA KERO ZETU, HAKIKA DR. WILBROAD SLAA AMEONESHA UMAKINI MKUBWA, UJASIRI WA KUPAMBANA NA MAFISADI WENYE UBINAFSI MKUBWA NA AGENDA ZAO NI KULIANGAMIZA TAIFA LETU, VISION NA PRIORITY KWA TAIFA LETU. ATAJALI MASLAHI YA WAFANYAKAZI NA KUREJESHA TUNU ZA TAIFA AMBAZO NI UZALEENDO, MAADILI,UADILIFU, UWAJIBIKAJI NA UMAKINI.

  TUMA UJUMBE HUU KWA WAFANYAKAZI WOTE UNAOWAJUA, OKOA TAIFA LAKO TANZANIA, NA KUWA SEHEMU YA HISTORIA YA MABADILIKO KWA KUPIGA KURA YA MABADILIKO.

  MUNGU IBARIKI TANZANIA-Dumisha Amani, upendo, Umoja na mshikamano

   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Oct 8, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hamna kitu alikosea lakini akaamua kuweka brave face... kimoyomoyo lazma alitetetmeka ile mbaya
   
Loading...