Wakuu camera yangu Canon kila nikiweka betri inaleta taa nyekundu na inaandika change betri Park

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,587
1,136
Wakuu narudia tena mimi ni kijana nimenunua kamera Kwa lengo la kujipatia kipato na kuepuka Omba Omba naomba msaada.. Kila nikiweka betri inaleta taa nyekundu na inaandika change betri Park aina ya kamera ni Canon Complies with the canadian ices.003 CLASS B SPECIFCATION RESPECTVE LIES EXIGENCES DE LA CLASSES DE LA NMB 003 DU Canada. Inamaanisha nini?.
 
Naomba msaada wakuu
 
Betri itakuwa ime-expire hata uchaji kiasi gani itagoma. My pc inaniambia 'no battery is detected', lakini battery ipo na haikubali charge so natumia umeme direct kama Tv.
 
Back
Top Bottom