The Intelligent
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 2,459
- 818
Wakuu nimekuwa nikitaka kujua tofauti za hayo makabila zilivyo, kwani nimeona wazanaki wengi wakiitwa na wakijitambulisha kama ni wakurya, lakini ukiangalia kikabila vizuri utaona kuwa zanaki ni kabila kamili.
Nimejaribu kuwauliza wenyewe(wakurya&wazanaki) wao wanasema kuwa wazanaki ni wakurya, pia nimeona wanaongea lugha inayofanana ila hadi sasa sijajua ukweli ulivyo.
wengne wanasema zanaki ni clan ya kurya hapa inanichanganya.
Mwenye kuelewa ukweli kati ya wakurya na wazanaki naomba atudadavulie.