kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 2,863
- 2,000
Umefurahii
Umefurahii
Hiri ringine rirituambia rinaitwa maiko huku rinaandika michaeri jizi hiri taata
Bhita ni bhita muraa!! Nitakughecha!Vita ni vita mura!!
Hii watu watachukulia kama utani lkini kwa Wakurya inakaukweli kwenye lafudhi.Mkurya msibani akitoa nasaha chamani kufirwa no chambo ra kawaida Leo bhoke kafirwa kesho utafirwa wewe yaani kira mutu lazima afirwe
Hakuna ukweli kwenye hili. Kwanza kuna herufi huwa zinawapa taabu sana wakurya kuzitamka kwa maneno ya kiswahili. D, b, j, z, f, p, l, na v. Lakini katika neno kufiwa, huwa wanatamka KUBHIWA na sio kufirwa kama alivyoandika mchangiaji hapo juu.Hii watu watachukulia kama utani lkini kwa Wakurya inakaukweli kwenye lafudhi.
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us