Wakurya eti tatizo ni nini katika jamii yenu?

Anachoongea mtoa mada ni cha ukweli, nina sister angu alikuwa anafanya kazi huko kwa wakurya alipangiwa zahanati hata mwaka mmoja hana, lakini ilibidi aache maana walianza kumfata nyumbani kwake usiku ambapo ulikuwa sio muda wa kazi tena na vitisho juu kama asipoenda kutibia ndugu zao watampiga, sasa huu si ubabe wa kijinga.
Inavyoonekana...Wanatumia zaidi ubabe kuliko Akili....Yaaani Jambo dogo lakutatua kirahisi wenyewe wanakimbilia Mapanga ...so sad
 
Em rudi shuleni Kwanza ukasome jinsi ya kuwasilisha af uje hum, eboo!!!
Sasa nyie mliosoma...mbona hamuelimishi jamii yenu waachane kukatana mapanga...je Shule yenu inafaida gani kwa jamii yenu?
 
Salaam,

Wakurya kwakweli wanasifika kwa mapanga na mishale na mavisu wakivitumia kuuwana wenyewe kwa wenyewe hususani wanawake zao.

Ila wameona haitoshi SAIV wamehamia kwa walimu. Hivi kweli mnakata mwalimu mapanga.

Kwani watoto wenu wa kiume huwa mnawaleaje wenzetu, mbona wanafika viwango vya kustaajabisha vya utovu wa nidhamu.

Hako bangi haiwafai maana faida Ni ndogo kuliko hasara.

Uzi Teyari.
Hata ww ukitamani panga njoo tutakupiga tu
 
Civilization/ustaarabu kama vile dini na elimu vilichelewa kuingia mkoa wa Mara tofauti na mikoa ya Kilimanjaro, Kagera na Mbeya.

Watu wa mkoa wa Mara walichelewa kumjua Mungu na kupata elimu bora mapema.
So solution Ni KUPELEKA ma shekh na wachungaji huko Mara...inaweza ikawasaidi masikini...Maana wanawake zao wanasifia vipigo na wanavitafuta mwisho wasiku wanajikuta walemavu
 
Kwanza ukiwataja 'Wakurya' uwe na 'Adabu' kidogo kwani huu 'Usalama' ulionao hapa nchini Tanzania kwa 99.9% Unaratibiwa mno na Wao sawa?
We nawe ustake kutuchekesha...Kwasababu mlichelewa kusoma na mkaishia form four mkawa mapolisi Tena wenye vyeti feki...Mshukuruni TU Magu...mngekuwa mnakatana mapanga TU huko ..Maana angesema awatoe na mapolisi wenye vyeti feki msingebaki ..
 
Salaam,

Wakurya kwakweli wanasifika kwa mapanga na mishale na mavisu wakivitumia kuuwana wenyewe kwa wenyewe hususani wanawake zao.

Ila wameona haitoshi SAIV wamehamia kwa walimu. Hivi kweli mnakata mwalimu mapanga.

Kwani watoto wenu wa kiume huwa mnawaleaje wenzetu, mbona wanafika viwango vya kustaajabisha vya utovu wa nidhamu.

Hako bangi haiwafai maana faida Ni ndogo kuliko hasara.

Uzi Teyari.
 
Walimu ni washenzi Sana, huwa wanapiga watoto wa watu Kama punda hilo ndio dawa yao
Wewe..umesoma wapi...Ni lini.mtoto mtiifu mwenye ababu na akafanya vizuri darani mwalimu akampiga?... Tatizo lenu mshazoea visasi..Sasa mwalimu akikuchapa fimbo mbili..Wewe unamkaya mkono na panga..

Na mzazi.akikupiga utamfanyaje.mnashida nyie
 
Ila pale tukiwa 'tunawakazieni' Dada zenu tu ndiyo huwa tunatumia 'Akili' nyingi na 'Nguvu' Kiduchu sana ndiyo maana 'Wanatupenda' ile mbaya tu.
Kwa akili.zote ulizonazo unazani KWAKUWA Wewe una gf au mke..Basi wanawake woote wanapenda Wakurya..khaaa...na Wewe unaUpopoma uliosababishwa na Bangi walizokula.ancestors wako.
 
tufanye ni mtu katumia simu yako mwalimu wangu,
Niliwahi kufanya nao kazi watu wa hilo kabila hamu nao sina walaqhi'..!!
Mimi kuna mmoja alikuwa mwalimu wa praise
Jamani anapelekesha watu mithili ya mgambo aliyekamata mwizi
Kidogo tu hasira zimempanda Mara anasusa,waoga wanaanza ooh jamani tumuombe msamaha..wengine wanasema sasa tumuombe msamaha kwa lipi hapa!?!
Aisee dada yule alikuwa anatuma hadi emoj za msonyo kwenye group la kanisa kisa tu amekwazika.
 
Back
Top Bottom