Wakurya eti tatizo ni nini katika jamii yenu?

Quetzal

JF-Expert Member
Dec 9, 2018
5,668
2,000
Salaam,

Wakurya kwakweli wanasifika kwa mapanga na mishale na mavisu wakivitumia kuuwana wenyewe kwa wenyewe hususani wanawake zao.

Ila wameona haitoshi SASA HIVI wamehamia kwa walimu. Hivi kweli mnakata mwalimu mapanga.

Kwani watoto wenu wa kiume huwa mnawaleaje wenzetu, mbona wanafika viwango vya kustaajabisha vya utovu wa nidhamu.

Hako bangi haiwafai maana faida Ni ndogo kuliko hasara.

Uzi Teyari.
========

Jeshi la polisi mkoani Mara linamshikilia mwanafunzi wa kidato cha tatu Mwita Machamo,(17) katika shule ya sekondari ya Kiagata kwa kumkata na panga mwalimu wake, Majogoro John baada ya mwanafunzi huyo kushindwa kumpeleka mzazi wake shuleni kama alivyoagizwa na mwalimu.

Taarifa hiyo imetolewa leo Septemba 24, 2020, na Kamanda wa Polisi mkoa wa Mara, Daniel Shillah na kusema kuwa tukio hilo lilitokea shuleni hapo majira ya asubuhi wakati mwalimu anakagua wanafunzi watoro, na ndipo mwanafunzi huyo alimgeukia mwalimu wake na kumkata mapanga.

"Baadhi ya wanafunzi waliwaleta wazazi wao, lakini huyu mwanafunzi kwa utovu wa nidhamu uliopindukia alikuja na upanga akiwa ameuficha kwenye nguo zake na mwalimu alipohoji kwanini hujaja na mzazi, mwanafunzi akachomoa upanga na kumshambulia mwalimu na akawatisha tisha wanafunzi wengine akapata nafasi ya kukimbia lakini wakamkata na tumemshikilia na atafikishwa mahakamani", amesema Kamanda Shillah.

Majogoro John ni mwalimu aliyejeruhiwa na mwanafunzi wake hapa amesimulia hali ilivyokuwa:

"Nilipita darasani kuangalia watoro nikamwambia fuata mzazi tuje tuongee ili nijue shida nini, yule akatembea hatua kama tatu kwenda mlangoni akageuka alivyotoa upanga akageuka haraka akanikata begani akageuka tena ili anikate kichwani ndipo nikaweka mkono wa kushoto akapiga panga, nikaona tu mkono unaning'inia".

Kwa upande wake mganga mfawidhi wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mara Joachim Iyembe, amesema kuwa wamempokea mgonjwa huyo na kumpa rufaa ya kwenda Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya matibabu zaidi.

CHANZO: EATV

mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
3,555
2,000
Salaam,

Wakurya kwakweli wanasifika kwa mapanga na mishale na mavisu wakivitumia kuuwana wenyewe kwa wenyewe hususani wanawake zao.

Ila wameona haitoshi SAIV wamehamia kwa walimu. Hivi kweli mnakata mwalimu mapanga.

Kwani watoto wenu wa kiume huwa mnawaleaje wenzetu, mbona wanafika viwango vya kustaajabisha vya utovu wa nidhamu.

Hako bangi haiwafai maana faida Ni ndogo kuliko hasara.

Uzi Teyari.
Acha Generalization Mkuu, walimu Wameuawa Morogoro huko Mvomero walimu wanne wamechomwa mikuki wamekufa na wengine wapo Muhimbili, Mwalimu wa Kike Kauwawa Namanyere kwa kuchomwa Visu Shingoni kisa sms ya Mpesa, mwalimu kauwawa Kibondo kapigwa Risasi ya Shingo nk nk.
Yoote hayo hukuyaongelea ila umewashwa na ya Huko Tarime hata habari yenyewe hujaieleza ina ukubwa gani na imetokea katika Mazingira gani. Acha stigimz Mkuu utachomwa Mkukk ukiwa nyuma ya keyboard.
 
MAGO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,172

Unaleta taarifa kitoto, haieleweki na lawama ni swali ama lengo LA bandiko no lipi, jifunze namna ya kuwasilisha mada
 
Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
28,325
2,000
Acha Generalization Mkuu, walimu Wameuawa Morogoro huko Mvomero walimu wanne wamechomwa mikuki wamekufa na wengine wapo Muhimbili, Mwalimu wa Kike Kauwawa Namanyere kwa kuchomwa Visu Shingoni kisa sms ya Mpesa, mwalimu kauwawa Kibondo kapigwa Risasi ya Shingo nk nk.
Yoote hayo hukuyaongelea ila umewashwa na ya Huko Tarime hata habari yenyewe hujaieleza ina ukubwa gani na imetokea katika Mazingira gani. Acha stigimz Mkuu utachomwa Mkukk ukiwa nyuma ya keyboard.
Naona povu lote umemalizia hapa mura.....
 
Mwanakulipata

JF-Expert Member
Jul 17, 2018
493
1,000
Huyu mpuu-zi sana anatafutia watu ban, au kachukuliwa demu sasa hasira zake anaamua kuchafua hadhi za Wanaume
Anachoongea mtoa mada ni cha ukweli, nina sister angu alikuwa anafanya kazi huko kwa wakurya alipangiwa zahanati hata mwaka mmoja hana, lakini ilibidi aache maana walianza kumfata nyumbani kwake usiku ambapo ulikuwa sio muda wa kazi tena na vitisho juu kama asipoenda kutibia ndugu zao watampiga, sasa huu si ubabe wa kijinga.
 
gymtamu

Member
Jan 29, 2018
34
125
Acha Generalization Mkuu, walimu Wameuawa Morogoro huko Mvomero walimu wanne wamechomwa mikuki wamekufa na wengine wapo Muhimbili, Mwalimu wa Kike Kauwawa Namanyere kwa kuchomwa Visu Shingoni kisa sms ya Mpesa, mwalimu kauwawa Kibondo kapigwa Risasi ya Shingo nk nk.
Yoote hayo hukuyaongelea ila umewashwa na ya Huko Tarime hata habari yenyewe hujaieleza ina ukubwa gani na imetokea katika Mazingira gani. Acha stigimz Mkuu utachomwa Mkukk ukiwa nyuma ya keyboard.
Mwambieeeeee
 
gymtamu

Member
Jan 29, 2018
34
125
Salaam,

Wakurya kwakweli wanasifika kwa mapanga na mishale na mavisu wakivitumia kuuwana wenyewe kwa wenyewe hususani wanawake zao.

Ila wameona haitoshi SAIV wamehamia kwa walimu. Hivi kweli mnakata mwalimu mapanga.

Kwani watoto wenu wa kiume huwa mnawaleaje wenzetu, mbona wanafika viwango vya kustaajabisha vya utovu wa nidhamu.

Hako bangi haiwafai maana faida Ni ndogo kuliko hasara.

Uzi Teyari.
Em rudi shuleni Kwanza ukasome jinsi ya kuwasilisha af uje hum, eboo!!!
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,149
2,000
Salaam,

Wakurya kwakweli wanasifika kwa mapanga na mishale na mavisu wakivitumia kuuwana wenyewe kwa wenyewe hususani wanawake zao.

Ila wameona haitoshi SAIV wamehamia kwa walimu. Hivi kweli mnakata mwalimu mapanga.

Kwani watoto wenu wa kiume huwa mnawaleaje wenzetu, mbona wanafika viwango vya kustaajabisha vya utovu wa nidhamu.

Hako bangi haiwafai maana faida Ni ndogo kuliko hasara.

Uzi Teyari.

Kwanza ukiwataja 'Wakurya' uwe na 'Adabu' kidogo kwani huu 'Usalama' ulionao hapa nchini Tanzania kwa 99.9% Unaratibiwa mno na Wao sawa?
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,149
2,000
Civilization/ustaarabu kama vile dini na elimu vilichelewa kuingia mkoa wa Mara tofauti na mikoa ya Kilimanjaro, Kagera na Mbeya.

Watu wa mkoa wa Mara walichelewa kumjua Mungu na kupata elimu bora mapema.

Kwahiyo Mwenyezi Mungu hakuwahi kuwepo Mkoani 'Mara' bali alikuwepo Mikoa mingine yote tu ukiwemo unaotoka Wewe 'Popoma' Mwandamizi?
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,149
2,000
Salaam,

Wakurya kwakweli wanasifika kwa mapanga na mishale na mavisu wakivitumia kuuwana wenyewe kwa wenyewe hususani wanawake zao.

Ila wameona haitoshi SAIV wamehamia kwa walimu. Hivi kweli mnakata mwalimu mapanga.

Kwani watoto wenu wa kiume huwa mnawaleaje wenzetu, mbona wanafika viwango vya kustaajabisha vya utovu wa nidhamu.

Hako bangi haiwafai maana faida Ni ndogo kuliko hasara.

Uzi Teyari.

Halafu mlivyo 'Juha' mnawasema 'Wakurya' na Watu wa Mkoani wa Mara ( Musoma ) kwa Ujumla huku Dada zenu ndiyo wakiongoza Kutubabaikia.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom