Wakurugenzi wa Halmashauri na Wakuu wa Wilaya fanyeni haya

H
Tanzania yote ya kijani hilo mmefanikiwa kwa 100% na wananchi wengi wa naamini yafuatayo ambayo sidhani kama yatatimia.....

Mosi, vijana wote kuajiriwa, Tanzania kuwa kama Ulaya, wakulima hawatakuwa na kero yeyote, wamachinga wote watakuwa wafanya biashara wakubwa kama Bahresa na MO, Tanzania kuwa kama peponi hakuna atakaye kufa kwa njaa, dhiki zote hazitakuwepo, kila Mtanzania atakuwa billionaire nk..

Huku mtaani kuna matarajio makubwa sana ambayo sidhani kama mtaweza kuyatatua hata 2%. Sasa ni muda wa kuanza kuitana wenyewe kwa wenyewe wasaliti, kutakuwa na CCM original na Mpya, nk.....
Huko Marekani wenyewe bado wanachangamoto za mambo mbalimbali Kama ajira. Ishu n kuwa kero nyingi zitatatuliwa
 
Back
Top Bottom