Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,185
- 1,077,274
Hapo mlistahili fimbo za kila aina. Nawapongeza walimu kwa kuwanyorosha. Naamini hamkurudia tena. Wangewaachia si ajabu leo mngekuwa wasagajiTulikua tunashikana nunu
Hapo mlistahili fimbo za kila aina. Nawapongeza walimu kwa kuwanyorosha. Naamini hamkurudia tena. Wangewaachia si ajabu leo mngekuwa wasagajiTulikua tunashikana nunu
Nakumbuka kukalishwa benchi moja na mtoto wa kike afu nahama nilikua naona ujinga ila saivi nikiona picha za huyo binti naumia mno roho, kumbe mwalimu wangu alikua na nia njema
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣nilikuwa mchelewaji afu muoga kupindukia!!! nilikuwa namtanguliza mlw mkuu mbele afu mimi ndo naingia shule kama waziri wa elimu!!! (as if mi ndo nilimwajiri)
siku moja alinibamba akaniambia nimsubiri ofcn kwake...kama alinipata......