Ila ukienda kupima wanasema uwongo hata kama mtoto sio wako vipimo vinaonesha ndio mzazi wa watoto hao
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu Nikitokea Chato Nawaletea Taarifa ya Mkemia Mkuu Wa Serikali Kwa Ufupi.
Chief Hangaya Weki Iendelee View attachment 1969536
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kama hakuna, zipo ila wazee wa pwani hawapendi matatizo ya kujitafutia. Wao wanauelewa mpana, hakunaga baba mzazi, ni baba mlezi tu. Hata kwenu kauli ya mjomba wa mwanao ni nzito kuliko kauli yako wewe baba. Chimbuko la desturi hiyo majibu anayo mkemia mkuu. Ndio maana wakulungwa wakikutana wanaitana 'brother from another mother'.Mwanza, Arusha, Dar es Salaam na Mbeya no majiji ya wenye tabia mbaya. Tanga hamna kesi hizo
Kanda ya ZiwaWakuu Nikitokea Chato Nawaletea Taarifa ya Mkemia Mkuu Wa Serikali Kwa Ufupi.
Chief Hangaya Weki Iendelee View attachment 1969536
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sijawahi, japo majaribu kibaoWewe hujawahi chepuka madam…
Unaweza kuta na mkemia mkuu anayedhani ni baba yake sio biological father wake
Njoo PMHapana sijawahi, japo majaribu kibao
Huko sipatumiagiNjoo PM
Kwangu nakuomba, ingia kuna ujumbe wako kule based on our last convo kwa uzi wangu ule..Huko sipatumiagi
Siwahofii sana bodaboda,maana ule mtikisiko Wa kuendesha boda unawasaga mbupu sana,ninaowaofia zaidi in hawa rafiki zetu Wa karibu wanaowaita wake zetu Shem.Na katika hiyo asilimia 49% utakuta nusu yake baba halali ni dereva wa boda boda 🐒
waja leo waondoka leo, mimba si rahisi kufungwa.Mwanza, Arusha, Dar es Salaam na Mbeya no majiji ya wenye tabia mbaya. Tanga hamna kesi hizo