Wakulungwa Pokeeni Taarifa Kutoka Kwa Mkemia Mkuu Wa Serikali

Lukonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
513
1,000
Wakuu Nikitokea Chato Nawaletea Taarifa ya Mkemia Mkuu Wa Serikali Kwa Ufupi.

Chief Hangaya Weki Iendelee View attachment 1969536

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni muhimu kufahamu kuwa hizi data zinatokana na watu kuwa tayari wameshatiliana shaka. Na si random sampling.

Ni sawa na kusema kati ya watu waliofika hospitali, ni wangapi walikutwa wanaumwa wakati wote walienda baada ya kujisikia kuwa na utofauti kwenye miili yao.
 

Infopaedia

JF-Expert Member
Oct 28, 2011
1,115
2,000
Mwanza, Arusha, Dar es Salaam na Mbeya no majiji ya wenye tabia mbaya. Tanga hamna kesi hizo
Siyo kama hakuna, zipo ila wazee wa pwani hawapendi matatizo ya kujitafutia. Wao wanauelewa mpana, hakunaga baba mzazi, ni baba mlezi tu. Hata kwenu kauli ya mjomba wa mwanao ni nzito kuliko kauli yako wewe baba. Chimbuko la desturi hiyo majibu anayo mkemia mkuu. Ndio maana wakulungwa wakikutana wanaitana 'brother from another mother'.
Sasa hiyo mikoa uliyoitaja wajuaji ni wengi kuliko ujuzi wenyewe.
 

Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
18,521
2,000
Wakuu Nikitokea Chato Nawaletea Taarifa ya Mkemia Mkuu Wa Serikali Kwa Ufupi.

Chief Hangaya Weki Iendelee View attachment 1969536

Sent using Jamii Forums mobile app
Kanda ya Ziwa
  1. Mwanza
  2. Shinyanga
  3. Mara
  4. Simiyu
  5. Kagera
  6. Geita
  7. Chato
Dsm - Kuna RC alikuwa na project ya kuwapima wanaume wa huko ufanyike utafiti huenda fertility yao ina dosari na huenda Lake Zone inafertize Dar
Arusha - Kanda ya Kaskazini - vipi hali za mjirani
Mbeya - Kusini nyanda za Juu vipi hali za majirani
 

Jameel2013

JF-Expert Member
Aug 21, 2014
756
1,000
Kwakweli kujua BIALOGICAL FATHER ni kitu muhimu ktk maisha ya MTOTO na TANZANIA hili swala wanalichukuliaje sijui? Maana zamani ukienda fanya DNA hawakupi majibu sahihi kama wakiona mtoto si wako sababu eti hawataki kuharibu family au wanataka mtoto awe na father figure ili kuepusha mtoto kulelewa na Single mother hii sababu ni ya hovyo kabisa.
 

Lubebenamawe

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
1,592
2,000
Siwezi kupinga hilo yuko sahihi kabisa kwa sababu mpaka kufikia hatua kupelekana kwenda kupima DNA tayari kuna mashaka kuhusu baba wa mtoto kwa hiyo wanaenda kuthibitisha tu. Hivyo si ajabu iwapo tutakuta kwamba majibu ya negative yakawa hata zaidi ya asilimia 80.
 

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Feb 21, 2014
801
1,000
Maabara gani anazizungumzia....hizi hizi zinazopima papai zikakutwa na Corona au damu ya mbuzi inacorona....hahahaha
 

nyakoo

JF-Expert Member
Dec 4, 2014
255
500
Ni sawa maana mpaka ukampine mtoto DNA inamaana tayari kuna sintofahamu. Hivyo matokeo kuwa hivyo ni sawa tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom