Wakuliwa bikra miaka 5 kabla kujamiiana na ikawa soo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuliwa bikra miaka 5 kabla kujamiiana na ikawa soo

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by MgonjwaUkimwi, Mar 14, 2012.

 1. M

  MgonjwaUkimwi JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 1,288
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  Baada ya kukaa miaka 5 bila kujamiiana wakiwa kama wachumba, ukafika ule usiku uliohalalishwa kwa Bwana harusi (ambaye alikuwa hajafanya tendo la ndoa tangu azaliwe) na Bibi harusi (bikra) kufanya tendo la ndoa.

  Katikati ya tendo bwana harusi akaanza kupiga kelele "kinakuja kinakuja kinakuja" " je mke wangu nikitoe? "sema kama nikitoe". Mke akajibu: "kitoe mume wangu". Mume akatoa kipande cha kinyesi nchi 3. Ikafika zamu ya mke kupiga kelele: "mume wangu endelea, endelea, husiache, hapo hapo"..."mamaaaa wee kunja godoro tafadhali". Mume akawa amechelewa kukunja godoro kwanini nayeye bibi harusi kanya kinyesi cha nchi 3.

  Siku zilizofuata kila mmoja wao akijaribia kileleni anakimbilia chooni na ajabu hawakuwa wanatoa kinyesi tena.
   
 2. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,315
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Nahc kuna mtu ananibip ngoja ni log out kwanza nimpigie nitarudi baadae maana leo natumia cm.
   
 3. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Am..Am.. Itakuwa nimepotea njia hebu nitoke kidogo
   
 4. h

  hukyan New Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndo waenda kutoa au?
   
 5. nelly nely

  nelly nely JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 669
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Umesoma hadi darasa la ngapi?hamkujifunza somo la kuandika darasa la kwanza??
   
 6. Uncle Kaso

  Uncle Kaso JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  Upuuzi mtupu!
   
 7. Nish

  Nish JF-Expert Member

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 22, 2011
  Messages: 732
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Madhara ya bangi
   
 8. g

  guccio Senior Member

  #8
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aaham aaham kifua kmenibana ngojea nkabanje nje...#pumba bila chenga
   
 9. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  ngoja nikatafute miwani ya mbao, nije ku-zoom zaidi...!!!
   
 10. mtzedi

  mtzedi JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,348
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  ushuzi huu
   
 11. M

  Midavudavu JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hakuna uwiano kati ya umri wake na makuzi ya ubongo wake!
   
 12. N

  N series Senior Member

  #12
  Mar 15, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  masaburi in work
   
 13. k

  kaeso JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Muwe mnajiasesi kabla ya kuposti upuuzi humu!
   
 14. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #14
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nani kaniambia nifungue thread hii?
   
 15. Benny EM

  Benny EM JF-Expert Member

  #15
  Mar 16, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 505
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 80
  Access denied, try again!
   
 16. m

  mbwagison Member

  #16
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nitafungua tena kesho!
   
 17. k

  kebi Member

  #17
  Mar 16, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haichekeshi...
   
 18. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #18
  Mar 16, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nitakupigia baadae kidogo,mbavu zinauma naenda kulala kidogo!
   
 19. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #19
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  error 404
   
 20. Blackman

  Blackman JF-Expert Member

  #20
  Mar 16, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 724
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  coment za watu zimenichekesha sana
   
Loading...