Wakulima wa nyanya wahaha kuhusu viwanda

AKASINOZO

JF-Expert Member
Aug 22, 2016
1,117
2,000
Nimeona kwenye habari Wakulima wa nyanya Morogoro, wakiomba kiwanda cha kusindika nyanya, wanatupa zinaharibika..

Kati ya vile viwanda zaidi ya 8000 tulivyo anzisha hakuna cha kusindika nyanya pale Morogoro?
 

Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
11,393
2,000
Nyanya Kisado ni sh 1000 Dodoma ukitembelea saa za majeruhi Soko kuu Majengo
maana kuliko akazimwage bora umsaidie pa kuzipeleka
hawa wakulima wanejiunga na kuanzisha viwanda wakawa wanazisindika msimu wa shida wakauza
 

fisitembo

Senior Member
Jun 19, 2020
123
250
Hapo ndipo utakapoona kumbe mtaji wa Mwanasiasa ni wa maskini mjinga,ikifika wakati wa kampeni Huyo mkulima anasahau yote yaliyopita anagawa haki yake.Nimeona kiwanda cha nyanya kimejengwa Iringa tena cha mtu binafsi,kwa nini selikali ishindwe
 

NAWATAFUNA

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
4,142
2,000
Nimeona kwenye habari Wakulima wa nyanya Morogoro, wakiomba kiwanda cha kusindika nyanya, wanatupa zinaharibika..

Kati ya vile viwanda zaidi ya 8000 tulivyo anzisha hakuna cha kusindika nyanya pale morogoro?
mkuu mwisho wa maelezo yako uneuliza swali la fitna
 

Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
27,895
2,000
Nyanya Kisado ni sh 1000 Dodoma ukitembelea saa za majeruhi Soko kuu Majengo
maana kuliko akazimwage bora umsaidie pa kuzipeleka
hawa wakulima wanejiunga na kuanzisha viwanda wakawa wanazisindika msimu wa shida wakauza
Nikufumbue kidg upeo.

Kufungua kiwanda kikaweza kusurvive unahutaji malighafi ya kutosha kuweza kukuendeshea wewe kiwanda chako...kuwalipa watumishi..na ww kukurudishia faida!

Tanzania kufungua kiwanda Cha nyanya watu wenyewe wanalima ekari 5 ni Bora ufuge ng'ombe ukamue maziwa! hutawwza kukiendesha hata kidg..!means malighafi inatakiwa ipatikane kwa mwaka mzima..tons n tons! Hata Kama Kuna kipindi itapungua lakini kiwanda kiwe kinafanya kazi!

Ishu hapa ni kuwamotivate wakulima throughout the year🤸🤸🤸
 

Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
11,393
2,000
Nikufumbue kidg upeo...
Kufungua kiwanda kikaweza kusurvive unahutaji malighafi ya kutosha kuweza kukuendeshea wewe kiwanda chako...kuwalipa watumishi..na ww kukurudishia faida!
Tanzania kufungua kiwanda Cha nyanya watu wenyewe wanalima ekari 5 ni Bora ufuge ng'ombe ukamue maziwa!..hutawwza kukiendesha hata kidg..!means malighafi inatakiwa ipatikane kwa mwaka mzima..tons n tons! Hata Kama Kuna kipindi itapungua lakini kiwanda kiwe kinafanya kazi!..
Ishu hapa ni kuwamotivate wakulima throughout the year🤸🤸🤸
Hapana kabisa
Vwanda vya kinaMama vya kudy&Tie ni mtu mmoja au wawili, vya useremala ni hivyo hivyo Baba na wanae
ukitembea Mjini kuna nyanya zinawekwa kwenye Madoom ya lita 5 ya nyanya iliyosagwa
wameitengeneza vizuri kasoro zile chemical kuna sukari, wangetafuta Chemichal nyingine km zile nyanya za makopo
unafahamu nyanya yetu inaenda Arabuni na kusindikwa kwenye Makopo na kurudishwa TZ kuuzwa
Hii nyanya ya makopo sasa hivi inatengenezwa hata hapa TZ kuna mpaka Tomato Paste za Dabaga nk kasoro ukipikia tofauti
1592772309958.png

ukiingia Google kuna aina nyingi za usindikaji sema wakulima wa nyanya wavivu tofauti na wa Iringa
 

Attachments

live on

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
453
1,000
Hi nchi mibichwa yetu imelala sana yani hadi leo hi SIDO na VETA hawawezi kutengeneza mitambo ya kusindika nyanya
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom