Wakulima wa korosho walamba Tsh. Bilioni 500

mamayoyo1

JF-Expert Member
Jul 25, 2018
1,011
2,000

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Malipo ya wakulima wa korosho sasa yamefikia TSh. Bilioni 524.8 baada ya Serikali jana kuwalipa wakulima cha Tsh. Bilioni 100.

Ameeleza hayo wakati akijibu maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu bungeni jijini Dodoma leo, kipindi kinachofanyika kila alhamisi.

"Tunaendelea kufanya uhakiki na mpaka jana tumeongezewa Bil.100 ambazo zinafanya jumla ya Bil.500 za kulipa. Tutahakikisha hadi tarehe 15 mwezi huu tutakuwa tumewalipa wakulima kwa kiasi kikubwa,” amesema Waziri Mkuu.

Awali Waziri Mkuu alisema kuwa serikali inaendelea na mkakati wa kupanua wigo wa biashara kwa kupanua sekta zinazowasaidia wafanyabiashara kufanya vizuri ikiwemo ujenzi wa miundombinu na ununuzi wa ndege.
 
Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
3,092
2,000
serikali ya awamu ya tano inajificha kwenye uhakiki inapokosa pesa ya kulipa watu wake.
1) watumishi wa umma hawajapandishwa mishahara, vyeo hadi madaraja tangu aingie madarakani akiulizwa uhakiki ? ulipoisha hajapandisha mpaka uchao
2) korosho alisema akiwa amehamaki " nitazinunua na kuzibangua zote ndani ya siku mbili" alipomeza zile dawa zake kichaa kikapungua akili ikarudi akajua hana pesa . uhakiki ukaanza mpaka leo hajalipa ni mitakwimu tuuu.
Mkimaliza kuhakiki mtuambie na zile mlizotaifisha pesa atachukua nani?
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
33,607
2,000

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Malipo ya wakulima wa korosho sasa yamefikia TSh. Bilioni 524.8 baada ya Serikali jana kuwalipa wakulima cha Tsh. Bilioni 100.

Ameeleza hayo wakati akijibu maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu bungeni jijini Dodoma leo, kipindi kinachofanyika kila alhamisi.

"Tunaendelea kufanya uhakiki na mpaka jana tumeongezewa Bil.100 ambazo zinafanya jumla ya Bil.500 za kulipa. Tutahakikisha hadi tarehe 15 mwezi huu tutakuwa tumewalipa wakulima kwa kiasi kikubwa,” amesema Waziri Mkuu.

Awali Waziri Mkuu alisema kuwa serikali inaendelea na mkakati wa kupanua wigo wa biashara kwa kupanua sekta zinazowasaidia wafanyabiashara kufanya vizuri ikiwemo ujenzi wa miundombinu na ununuzi wa ndege.
Nape kasema ukienda huko kwa wakulima wa korosho, takwimu za malipo ya serekali na ukweli vinakataana, fullstop.
 
mamayoyo1

JF-Expert Member
Jul 25, 2018
1,011
2,000

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Malipo ya wakulima wa korosho sasa yamefikia TSh. Bilioni 524.8 baada ya Serikali jana kuwalipa wakulima cha Tsh. Bilioni 100.

Ameeleza hayo wakati akijibu maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu bungeni jijini Dodoma leo, kipindi kinachofanyika kila alhamisi.

"Tunaendelea kufanya uhakiki na mpaka jana tumeongezewa Bil.100 ambazo zinafanya jumla ya Bil.500 za kulipa. Tutahakikisha hadi tarehe 15 mwezi huu tutakuwa tumewalipa wakulima kwa kiasi kikubwa,” amesema Waziri Mkuu.

Awali Waziri Mkuu alisema kuwa serikali inaendelea na mkakati wa kupanua wigo wa biashara kwa kupanua sekta zinazowasaidia wafanyabiashara kufanya vizuri ikiwemo ujenzi wa miundombinu na ununuzi wa ndege.
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
4,990
2,000
"Tunaendelea kufanya uhakiki na mpaka jana tumeongezewa Bil.100 ambazo zinafanya jumla ya Bil.500 za kulipa"
Rudia kusoma hapo,maana unaleta habari amabayo hata wewe mwenyewe haujailewa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Malipo ya wakulima wa korosho sasa yamefikia TSh. Bilioni 524.8 baada ya Serikali jana kuwalipa wakulima cha Tsh. Bilioni 100.

Ameeleza hayo wakati akijibu maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu bungeni jijini Dodoma leo, kipindi kinachofanyika kila alhamisi.

"Tunaendelea kufanya uhakiki na mpaka jana tumeongezewa Bil.100 ambazo zinafanya jumla ya Bil.500 za kulipa. Tutahakikisha hadi tarehe 15 mwezi huu tutakuwa tumewalipa wakulima kwa kiasi kikubwa,” amesema Waziri Mkuu.

Awali Waziri Mkuu alisema kuwa serikali inaendelea na mkakati wa kupanua wigo wa biashara kwa kupanua sekta zinazowasaidia wafanyabiashara kufanya vizuri ikiwemo ujenzi wa miundombinu na ununuzi wa ndege.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom