Wakulima na Wafugaji Nanjilinji waingia kwenye mgogoro mpaka kuuana

hata mimi

JF-Expert Member
Oct 17, 2017
1,356
1,437
Idd Mubaarak

Waungwana sina mamlaka ya kusema ila nitumie kuwadokeza tu ni kwamba hali si nzuri huko Nanjilinji kuna ugomvi kati ya wafugaji (wasukuma) na wakulima. Hali hiyo imepelekea kutoana uhai na hivi sasa tayari gari za vijana wa kazi (polisi-ffu) zimejaa huko kwajili ya usalama!
 
Wasukuma walivyopelekwa huko kwa ajili ya ufugaji bila kupewa maeneo yao nilijua migogoro ya Morogoro itaamia huko na kweli...
 
Wasukuma kambi popote,wameenda kusini kuwazingua wamakonde.
Wamakonde jikazeni mpambane mkizubaa wasukuma watanyakua ardhi yote iyo.
"Sukuma gang"
 
Utashangaa wenyeji wengi wanatandikwa na wageni wachache wanakimbizwa mpaka wanazikimbia nyumba zao na kwenda kulala porini.

Yaani unaweza kuta wasukuma ama wamang'ati 8 wanatandika kijiji kizima chenye wakulima 1000
 
Idd Mubaarak

Waungwana sina mamlaka ya kusema ila nitumie kuwadokeza tu ni kwamba hali si nzuri huko Nanjilinji kuna ugomvi kati ya wafugaji (wasukuma) na wakulima. Hali hiyo imepelekea kutoana uhai na hivi sasa tayari gari za vijana wa kazi (polisi-ffu) zimejaa huko kwajili ya usalama!
Wapi picha ya miili ya waliofariki pamoja na wanyama, wengine tuna mashamba na mifugo huko.
 
Utashangaa wenyeji wengi wanatandikwa na wageni wachache wanakimbizwa mpaka wanazikimbia nyumba zao na kwenda kulala porini.

Yaani unaweza kuta wasukuma ama wamang'ati 8 wanatandika kijiji kizima chenye wakulima 1000
Wafugaji wana protocol za kiaskari hasa wanapochunga mifugo,wafugaji wamezoea harufu ya damu wanapochinja mifugo mara kwa mara ndo maana vita nyingi na wakulima wafugaji huwa wanashinda.
Wakipigana wafugaji kwa wafugaji huwa ni vita ngumu na endelevu haiishi mapema.
 
Back
Top Bottom