Wakulima jifunzeni kula mazao mnayolima

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,165
9,376
Kuna msemo kuwa. Unakula usichozalaisha, na unazalisha usichokula!

Juzi nimeshangazwa na majibu ya Mkulima mmoja wa Dengu aloponiambia kuwa hajui dengu zinliwaje!?

Hiini baada ya mimi kumuuliza bei ya dengu kwa kuwa nilijuwa nahitaji Kama Kg 20 kwa matumizi ya nyumbani.

Tafadhalini wakulima jifunzeni kula mnachozalisha!

Hii itasaidia hata pale soko linaposhuka, mnauziana wenyewe. Kama baba Jiwe alivotuaminisha kuwa Wanunuzi wa korosho wakidengua tunagawana wenyewe!
 
Back
Top Bottom