Wakufunzi wa vyuo mna la kujifunza kupitia kwa Dr. Akwilapo

ibesa mau

JF-Expert Member
Sep 17, 2015
2,109
1,697
Dr. Akwilapo ni mmoja wa watu waliokuwa wanasimamia research ya magufuri wakati anasoma phd. Kwa hiyo amepewa ukatibu kama sehemu ya kumshukuru supervisor wake.
Wakufunzi jifunzeni wapo watu wanawabania wenzao utadhani mwanafunzi huyo si mtanzania. wako wanafunzi wanabaniwa hata mtu leo akipata wadhifa hawezi kumpa shavu mwl wake. utapishana na gari la mshahara shauri yako.
 
Dr Akwilapo alishakuwa katibu mkuu hata kabla ya uchaguzi mkuu mwaka jana
 
asee kuna mwalimu wangu humu JF wacha nimkumbuke leo walau kwa safari au tusker baridi na kitimoto ya kuchoma nusu
 
Dr Akwilapo alishakuwa katibu mkuu hata kabla ya uchaguzi mkuu mwaka jana

Dr. Leonard Akwilapo hakuwahi kuwa Katibu Mkuu kabla. Alikuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) ni Rais Magufuli amempa cheo cha Katibu Mkuu
 
Dr. Akwilapo ni mmoja wa watu waliokuwa wanasimamia research ya magufuri wakati anasoma phd. Kwa hiyo amepewa ukatibu kama sehemu ya kumshukuru supervisor wake.
Wakufunzi jifunzeni wapo watu wanawabania wenzao utadhani mwanafunzi huyo si mtanzania. wako wanafunzi wanabaniwa hata mtu leo akipata wadhifa hawezi kumpa shavu mwl wake. utapishana na gari la mshahara shauri yako.
Acha kudhalilisha watu,tuangalie ana vigezo au hana,kusema kapewa u KM kama shukrani ni udhalilishaji
 
Hao hawajakutana barabarani mkuu marafik kitambo toka wanasoma..halafu Akwilapo alikuwa Director Taasisi ya Elimu kwahiyo kuwa katibu ni kawaida sana yupo vizuri utendaji wake ndio umembeba sio ushikaji
 
Dr Akwilapo alishakuwa katibu mkuu hata kabla ya uchaguzi mkuu mwaka jana
Hakuwa katibu mkuu before uchaguzi, alikuwa Mkurugenzi Mkuu (DG) TIE.

_____________________________
" With or without religion, good people can behave well and bad people can do evil; but for good people to do evil - that takes religion.
 
Back
Top Bottom