Wakubwa wizara ya nishati na madini waitwa na wawekezaji Canada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakubwa wizara ya nishati na madini waitwa na wawekezaji Canada

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mchekechoni, Jun 17, 2011.

 1. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ishu ya mgogoro baina ya wawekezaji wa mgodi wa Tarime na wakazi wa Nyamongo (mauaji ya polisi dhidi ya raia wasio na hatia) imechukua sura mpya baada ya vigogo kadhaa toka wizarani kuitwa nchini Canada kuelezea yaliyojiri!
   
 2. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,178
  Likes Received: 1,182
  Trophy Points: 280
  Chanzo tafadhali
   
 3. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  namtafuta naibu waziri kwa taarifa zaidi
   
 4. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  waliokwenda ni kina nani?
  vyeo na majina tafadhali
   
 5. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Si wataeleza uwongo tu huko?
   
 6. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Wanaenda kuchukuwa mahari zao za kuolewa na mabwana zao
   
 7. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #7
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  nani kawaita wakajieleze, wakati mali ni ya watanzania.
   
 8. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ivi sio kwamba wao ndo waje tz kupata maelezo!au hayo madini yanachimbwa canada na kuletwa tz?yaani madini yetu alafu tunaendeshwa utadhani mbwa koko
   
 9. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kama ni kweli hatuna serikali bali ni genge la wapiga deal. Wao ndo waitwe waje wajieleze kwa nini hawajawatekelezea wananchi wa Nyamongo ahadi walizozitoa wakati wana anzisha mgodi. Pia waeleze kwanini wasilipe 33% ya mapato yao kwa serkali la sivyo wafunge vilago waondoke.

  Hii imekaa kama Ngereja kawahi kupanda pipa!
   
 10. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Do we have confirmation that this thread is from valid source??
   
 11. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #11
  Jun 17, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hao mabosi (I don't care hata kama ni wa makarani) anawajibika kwa watanzania na si kwa serikali ya Canada. Huo utakuwa ni kuuza uhuru wetu kama hii habari itakuwa na ukweli wake. Siwezi kushangaa maana wengi wao walishawekwa kwenye makoti ya wawekezaji.
   
Loading...