Wakubwa wanaofuata kuaga mashindano baada ya Germany na Belgium ni Spain na Argentina kwa hatua ijayo

Argentina hatua ya 16 Bora itamuwia ngumu mno kwakuwa hadi hapa walipofika ni kwa bahati bahati tu!

Spain yupo na mkusini wake Morocco, siku ambayo watu watazikimbia mikeka yao hapa.

Sina kipaji cha kumuelezea mtu aelewe maono yetu tuliyojaliwa kuyaangalia mambo kwa nguvu ya ziada!

Nitafufua kauzi haka mmoja akitolewa.

Britanicca
Haina mbambamba ongezea Brazil hapo nakuambia kwa kujiamini kabisa
 
Spain,Argentina,Brazil na France.

wote hao 👆 nawaona wapo shallow sana sijaona kabisa makali ya ukubwa wao.

Japan nawaona wanapiga kazi ya nguvu japo awana jina kwenye soka.
 
Argentina hatua ya 16 Bora itamuwia ngumu mno kwakuwa hadi hapa walipofika ni kwa bahati bahati tu!

Spain yupo na mkusini wake Morocco, siku ambayo watu watazikimbia mikeka yao hapa.

Sina kipaji cha kumuelezea mtu aelewe maono yetu tuliyojaliwa kuyaangalia mambo kwa nguvu ya ziada!

Nitafufua kauzi haka mmoja akitolewa.

Britanicca
Uzi umekaa kimbea zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom