kwani kuna wageni wenyeji humu mkuu?
Karibu sana Govanor! Bt nikutahadharishe, hapa kuna mijitu itakuchokonoa kwa koment na thread za kishetani na maudhi sana mpaka unaweza ukapata 'Ze Ban' ya maisha!...haya mwanakwetu karibu ingawa inaonesha unakau wenyeji hapa kunyumba!

texas.
Jamani,mimi ni kuku mgeni humu jf,naombeni tushirikiane vyema..mmbarikiwe sana.