kishumbaz
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,063
- 1,499
Leadership is all about to get the best in your people, sasa nikiangalia kwa viongozi wetu nagundua uozo mwingi kwa uelewa wangu mdogo, mfano, tupo kwenye ulimwengu wa science & technology, tuna wataalam wengi kwa sasa, kwanini bado mambo yanaenda manually! kweli tumeshindwa kubuni systems za kuindesha hii nchi ambayo itaondoa ufisadi automatically!