A Ad4 Member Jul 20, 2013 5 0 May 4, 2019 #1 Wakubwa, hivi Mti unao itwa Moringo kwa kiingereza, kwa Kiswahili ndio Mlonge?
A Ad4 Member Jul 20, 2013 5 0 May 4, 2019 Thread starter #2 Wakubwa mti huu unaoitwa Moringo kwa kiswahili ndio Mlonge?
A Ad4 Member Jul 20, 2013 5 0 May 4, 2019 Thread starter #3 Wakubwa mti huu unaoitwa Moringo kwa kiswahili ndio Mlonge?
wa stendi JF-Expert Member Jul 7, 2016 24,688 26,796 May 4, 2019 #5 Ebu weka picha wengine hatujui kama ndo unasemea huo Ad4 said: Wakubwa mti huu unaoitwa Moringo kwa kiswahili ndio Mlonge? Click to expand...
Ebu weka picha wengine hatujui kama ndo unasemea huo Ad4 said: Wakubwa mti huu unaoitwa Moringo kwa kiswahili ndio Mlonge? Click to expand...
MKWEPA KODI JF-Expert Member Nov 28, 2015 28,707 71,003 May 4, 2019 #6 Haya new member umefanikiwa kutoa uzi siku nyingine uwe unaweka na picha ya mti wenyewe ili tuujadili kwa majina mbalimbali
Haya new member umefanikiwa kutoa uzi siku nyingine uwe unaweka na picha ya mti wenyewe ili tuujadili kwa majina mbalimbali
warthog gun JF-Expert Member Aug 9, 2018 1,466 1,256 May 4, 2019 #7 Ad4 said: Wakubwa mti huu unaoitwa Moringo kwa kiswahili ndio Mlonge? Click to expand... Wengi wanauita moringa sio moringo yeah ndo huo unaitwa mlonge.
Ad4 said: Wakubwa mti huu unaoitwa Moringo kwa kiswahili ndio Mlonge? Click to expand... Wengi wanauita moringa sio moringo yeah ndo huo unaitwa mlonge.
euca JF-Expert Member Apr 6, 2015 3,741 4,081 May 4, 2019 #8 Nasikia huo Mti ni dawa ya kuongeza nguvu za baba