Wakubwa hawa wamemeza chura gani mbona mabaka yashamiri usoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakubwa hawa wamemeza chura gani mbona mabaka yashamiri usoni?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Rutashubanyuma, Oct 13, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,689
  Trophy Points: 280
  Siku hizi idadi ya viongozi wenye neema tele utaona wanashahibiana kwa mabaka usoni na kuongelea puani ni vyura gani wenzetu wamemeza?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  :A S wink:
  sijakuelewa broda!
  Au umetumia tamathali za semi!:mad:
   
 3. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  mi sijaelewa kitu,nilivyoingia nilizani nitakutana na picha ikionyesha wakiwa na hayo mabaka.
   
 4. Deodat

  Deodat JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2010
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 1,279
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mbona swali lenyewe tu ni fumbo?
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Nikupe namba ya Makii Hassan??
   
 6. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,551
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Wachache sana tutaelewa hii,
  hint: Think of Mkulu and Mzee wa Kilaracha.... :dance: Wanashabihiana kwa nini? wakati huu?
   
Loading...