Msabaha lk
Member
- Apr 21, 2012
- 84
- 21
Ule mtindo wa watu kulala mzungu wa nne,umewatokea puani ucku wa kuamkia leo baadhi ya wanachuo wa mwaka wa pili na wa kwanza pale SUA, Hii ni baada ya uongozi wa malazi (suasab) kuamua kupitisha ukaguzi na kuamua kuchukua magodoro na kurudisha store kwa wote waliokutwa wapo wawili, imekuja siku chache baada ya kutoa tangazo kuwa kubebana marufuku na wote wasiokuwa na vyumba waende hostel za Kihonda nje kidogo ya mazimbu! "Sielewi itakuwaje" kijana mmoja ambaye amepokonywa godoro alisikika akisema ! Du ni balaa tupu aise!