Wakristo wanabaguliwa zanzibar?

Allah's Slave

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2008
Messages
564
Points
0

Allah's Slave

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2008
564 0
Ndugu yangu fafanua watu tujue waislamu tunaipingaje hii hoja. Hujaweka ushahidi au kueleza wakristo wanabaguliwa kivipi. Hakuna ubaguzi maana hamfungwi bila makosa, Hamzuiwi kuabudu makanisani, Hamzuiwi kutembea sehemu fulani, Hamzuiwi kunywa pombe hadharani, Hamzuiwi kutembea bila hijab.

Hoja imekaa kama kusudio la muandishi ni kuwapaka matope waislamu waonekanae wabaya. Threads haziwekwi kiholela namna hiyo. Sidhani kama utapata wachangiaji kwenye hiyo mada yako kwa sababu hakuna cha kujadili.

Kama ni swala la uongozi kuwa unaweka waislam watupu, una haki ya kulalamika lakini sema kwenye thread watu tujue linalokukera ni lipi au waislamu hao wanafanya ubaguzi wa aina gani.
 
Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2007
Messages
4,809
Points
1,250

Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2007
4,809 1,250
Ndugu yangu fafanua watu tujue waislamu tunaipingaje hii hoja. Hujaweka ushahidi au kueleza wakristo wanabaguliwa kivipi. Hakuna ubaguzi maana hamfungwi bila makosa, Hamzuiwi kuabudu makanisani, Hamzuiwi kutembea sehemu fulani, Hamzuiwi kunywa pombe hadharani, Hamzuiwi kutembea bila hijab.

Hoja imekaa kama kusudio la muandishi ni kuwapaka matope waislamu waonekanae wabaya. Threads haziwekwi kiholela namna hiyo. Sidhani kama utapata wachangiaji kwenye hiyo mada yako kwa sababu hakuna cha kujadili.

Kama ni swala la uongozi kuwa unaweka waislam watupu, una haki ya kulalamika lakini sema kwenye thread watu tujue linalokukera ni lipi au waislamu hao wanafanya ubaguzi wa aina gani.
Mimi nilidhani mada inahusu wazenj na sio waislamu! Sasa uislamu umeingia vipi? Au kwa vile Zenj wengi ni waislamu? Kwani utawala wa Zenj ni wa kiislamu?
 
Forum statistics

Threads 1,390,043
Members 528,088
Posts 34,041,851
Top