Wakristo mjitafakari kwenye suala la mahari, mnawakosea sana binti zenu. Kilichotokea hivi karibuni kwa jamaa yangu kina funzo

hiki ndicho mzazi anatakiwa askijue kuwa ukiendelea kumfanya biashara ataendelea kuliwa na kubebeshwa mimba hapo nyumbani hadi ukome........yaani wazazi badirikeni unamtoza mahari kubwa bado akiwa kwa mume wake bado mnahitaji aendelee kuwatunza na kuwahudumia tena kila siku simu za kulia shida kwa mkwe wenu haziishi bado mtoto wenu hajaamsha kichaa cha kuanza kumpa kisukari mume wake
Hii ni jamii ya Uganda hatujui huenda ukioa wakwe hawana mamlaka kuomba msaada ndio maana hawataki ubakishe mahari
 
Kabisa tunazingua sana. Muhimu ni ndoa sio harusi.
Alafu sasa tulivyo maboya...tunatilia mkazo vitu ambavyo havina maana yoyote. Wazazi wasitilie mkazo kwa mabinti zao kutunza bikra zao wao wanakaribisha kujifungulia nyumbani. Mzazi huna aibu mtoto wako wa kike anatiwa mimba na kuja kujifungulia nyumbani kwako. Hovyo kabisa alafu unaanza leta madai ya ajabu kwenye mahari
Yani 15M ya UG ni sawa na 9M ya TZ halafu 4M ya UG ni sawa na 3M ya TZ.?
Ila sisi wakristo tunazingua sana upande wa ndoa na mazishi, mambo kibao knoma.
 
Jamaa rafiki yangu ( 37 )ni single father with 3 kids ana mchumba wake mganda ambae nae ni single.mother ( 37 yrs) with one kid. Alikuwaga rafiki yake wakati wakisoma chuo wakaja kukutana tena miaka kadhaa baada ya ku graduate jamaa anaishi Dar mrembo anaishi kampala wakaanzisha uhusiano.

Muda wa kwenda kutoa mahari ulikuwa Mwezi uliopita.

Nilikuwa mmoja katika ujumbe ulio ongozana na rafiki yangu na matchmaker ( mshenga) wake .

Wakati wa kunegotiate mahari

Wazazi wakaanza na 15 million Ugandan ambayo ni kama milioni 9 ya Tanzania. ( Walitaja idadi ya ng'ombe then ikawa converted to cash)

Tukakomaa wakashusha mpaka milioni kumi ya Uganda.

Tutakomaa wakashusha mpaka milioni tano ya Uganda.

Mwisho kabisa wakakomea shilingi milioni nne na point kadhaa ya Uganda ambayo ni sawa na milioni tatu ya Tanzania.

Hapo wakasema haipungui hata mia.

Tukaomba tupewe muda tukatafakari kisha tutatoa taarifa ni lini tutarejea tena ukweni kukamilisha hiyo mahari.

Kumbuka hapo tumefikia hotelini.

Basi tulipo enda kujadiliana tukamuuliza muoaji kama bajeti yake ina mruhusu kulipa milioni tatu cash akasema no way out hawezi kulipa mahari yote hiyo.

Akasema alitegemea wangesema milioni moja halafu yeye angetoa laki tano au saba huku akitoa ahadi ya kumalizia mahari iliyo baki

( Waganda hakunaga kubakiza mahari. Wakati hapa Tz kuto kumalizia mahari ni heshima kubwa sana kwa wakwe kwa sababu KWANZA Inaonyesha kwamba bibi harusi sio bidhaa unayo weza kuinunua dukani na kwamba wazazi wa bibi harusi wame kutunuku binti yao ukaanzishe nae familia lakini pili Inaonyesha kwamba wewe muoaji unampenda sana mkeo kiasi kwamba haupo tayari kusubiri mpaka upate mahari kamili )

Mshenga akamuuliza bwana harusi. Hauna alternative mahali kwingine ? Yani hauna mchumba mwingine.

Jamaa akajibu nina mchumba mwingine yupo Tanzania ila yeye ni muislamu na kwao wanataka tufunge ndoa ya kiislamu.

( Mshenga akajibu nilitaka kushangaa unakosaje alternative)

Kisha akamuuliza. Upo tayari kutunga ndoa ya kiislamu? Jamaa akajibu yupo tayari.

Mshenga akajibu tunasubiri nini?

Mshenga akaenda kutoa taarifa ukweni kwamba tunarudi Dar kujipanga na tutarejea tutakapo kuwa tayari.

Jamaa karudi dar ndani ya hizo wiki mbili kavuta jiko na harusi ikafanyika kwa gharama ya kawaida sana na mtoto mwenyewe mbichi kabisa ndo KWANZA kamaliza form four ( anaweza kuwa bado hajawa dis flowered)

Baada ya kuoa jamaa kamjulisha mchumba wake wa uganda kwamba hayupo tena interested na ndoa kwa sababu hizo gharama haziwezi na kwamba ameamua kuoa sehemu nyingine..

Mwanamke wa kiganda kachanganyikiwa sasa hivi anawalaumu wazazi wake tu.

Wakristo hizo zama za wanaume kutoa mahari za mamilioni hazipo tena..

Jifunzeni kwa waislamu..mnawakosesha binti zenu ndoa kwa sababu ambazo hazina msingi.

KWANZA karne hii ukiona mtu "amepandwa na kichaa " cha kutaka kuoa Unapaswa kumpa mke haraka kabla kichaa hakija toweka, ili kichaa kiondoke tayari akiwa na mke ndani ndo akumbuke ' kumbe mimi fala hiviii'

N.B: kwa sababu ya complications zake, familia nyingi za kikristo huwa zina experience ndoa chache sana ikilinganishwa na familia za kiislamu. Dini ya kiislamu imerahisisha sana.suala la.ndoa.

Matokeo yake familia nyingi za kikristo huwa hazi fahamu saikolojia/ siasa za waoaji.

Ni hivi muoaji anapo kuja kwenye familia yako, usifikiri hajaona mwanamke mwingine au hana option nyingine. Most of the time muoaji anapo fikia hatua ya kuja kujitambulisha nyumbani kwenu tayari anakuwa na option zingine kama mbili, tatu au hata nne.

Nikija kwenye familia yako kuchumbia, halafu ukaniletea complications ngumu, mimi nitakacho kifanya nita kuachia binti yako nitaenda kwenye familia ambayo haitaniwekea complications ngumu..

Ninapo kuja kwenye familia yako usinichukulie KWANZA kama mtu ambae ninataka kumuoa binti yako, nichukulie kwanza kama.mtu ambae nimekuja kutazama kama familia yako ina complications au la

Mahari angalau iwe Tsh 500k to 2.5M

Mimi unitajie milioni 5 nitacheka Sana mwishowe nionekane sina adabu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Thamani ya mwanamke haulimwi kwa idadi ya watoto aliozaa.Mtoto wa kike wa bakhresa hata awe na watoto Kumi.akitaka kuolewa huwezi skatolewa kwa bei ya kutupwa

Thamani yake inakuwa determined pia na familia anayotokea

Kusema akizaa eti kidume chochote kikitokea sawa tu nyooo.Hakuna kwanza kama unajiona kina thamani kubwa si kiende kikaoe wasichana wasio na watoto

Kuuza mtu kuna hadhi sio kila bwege anaozeshwa
Binadamu hana purchasing price
 
Mahari inashusha utu wa mwanamke na kumfanya awe sawa na ng'ombe anayenunuliwa.
 
Thamani ya mwanamke haulimwi kwa idadi ya watoto aliozaa.Mtoto wa kike wa bakhresa hata awe na watoto Kumi.akitaka kuolewa huwezi skatolewa kwa bei ya kutupwa

Thamani yake inakuwa determined pia na familia anayotokea

Kusema akizaa eti kidume chochote kikitokea sawa tu nyooo.Hakuna kwanza kama unajiona kina thamani kubwa si kiende kikaoe wasichana wasio na watoto

Kuuza mtu kuna hadhi sio kila bwege anaozeshwa
Mwanaume uliyekamilika unaoje mwanamke ambaye tayari kashazalishwa? Hivi kweli na akili yako unaenda kuintroduce single maza kwa mzazi wako. Hapana jamani. Wanaume tuwaonee huruma mama zetu.
 
Kabisa tunazingua sana. Muhimu ni ndoa sio harusi.
Alafu sasa tulivyo maboya...tunatilia mkazo vitu ambavyo havina maana yoyote. Wazazi wasitilie mkazo kwa mabinti zao kutunza bikra zao wao wanakaribisha kujifungulia nyumbani. Mzazi huna aibu mtoto wako wa kike anatiwa mimba na kuja kujifungulia nyumbani kwako. Hovyo kabisa alafu unaanza leta madai ya ajabu kwenye mahari
Yn hiyo ishu ya binti kujifungulia home siipendi knoma, kuliko demu wangu ajifungulie home n bora nisiwe nae kabisa tuu
 
Mahari angalau iwe Tsh 500k to 2.5M

Mimi unitajie milioni 5 nitacheka Sana mwishowe nionekane sina adabu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ukishaanza ku negotiate maana yake umeikubali mahari ila unalia kwa umasikini wako wa kushindwa kulipa mahari fulani.

The entire concept of mahari is objectifying women.

Inawafanya wanawake wawe bidhaa inayouzwa kwa wanaume.

Sawa na ng'ombe

It should be scratched.
 
Wakwe zangu hawezi sema hivyo Kwa jinsi nilivyojipambanua.
Bahati nzuri sinaga unafiki.

Alafu kingine sinaga Bargaining ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Yaani ukitaja kubwa Kama sina ndio tumemalizana.
Masuala ya kulialia kisa ujinga Mimi siwezi.
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
HAKUNA sehem ktk BIBLIA TAKATIFU imelazimisha mwanamke atolewe mahari... Watu mnachanganya tamaduni za kiafrika na ukristo, Wakristo wengi wanatumia tamaduni zao za makabila kupanga mahali kwa kuhusianisha na dini... Mahali ni makubaliano ya mwanaume na mwanamke wake ambapo yanahusisha na wazazi wa mwanamke... Halafu vijana muache mbwembwe mnapoenda ukweni, huna maisha mazuri huna gari huna uwezo kifedha, ila cha kushangaza siku ya kwenda ukweni kujitambulisha Unaazima gari za rafik zako, unabeba zawadi nyingi, unajimwambafai unajiweka ki boss uonekanae una pesa ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚ ukiambiwa mahali Millions kadhaa unakuja kulialia mitandaoni... Mahali hupangwa kutokana na ulivyo jionyesha ukweni, ukienda kawaida wanajua upo serious ila ukienda kwa kujitutumua wanakufumia mamillion...
 
Ukishaanza ku negotiate maana yake umeikubali mahari ila unalia kwa umasikini wako wa kushindwa kulipa mahari fulani.

The entire concept ya mahari is objectifying women.

Inawafanya wanawake wawe bidhaa inayouzwa kwa wanaume.

Sawa na ng'omne

It should be scratched.

Mahari ni moja ya vitu wanawake hawajui vinavyowadhalilisha.

Alafu vinampa uhalali mwanaume kumchukulia Kama properties zake zingine.

Wazazi wengine hutaka mahari kubwa ili ujilizelize, uwe submissive kwao, utie huruma, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mimi kiukweli siwezi hayo mambo ya Bargaining wakitaja kubwa wamekwisha. Sasa ni KAZI Yao kufikiria ni ipi mahari Standard.
 
HAKUNA sehem ktk BIBLIA TAKATIFU imelazimisha mwanamke atolewe mahari... Watu mnachanganya tamaduni za kiafrika na ukristo, Wakristo wengi wanatumia tamaduni zao za makabila kupanga mahali kwa kuhusianisha na dini... Mahali ni makubaliano ya mwanaume na mwanamke wake ambapo yanahusisha na wazazi wa mwanamke... Halafu vijana muache mbwembwe mnapoenda ukweni, huna maisha mazuri huna gari huna uwezo kifedha, ila cha kushangaza siku ya kwenda ukweni kujitambulisha Unaazima gari za rafik zako, unabeba zawadi nyingi, unajimwambafai unajiweka ki boss uonekanae una pesa ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚ ukiambiwa mahali Millions kadhaa unakuja kulialia mitandaoni... Mahali hupangwa kutokana na ulivyo jionyesha ukweni, ukienda kawaida wanajua upo serious ila ukienda kwa kujitutumua wanakufumia mamillion...

Mkuu so unataka mtu aende ukweni amevaa ndala?

Hiyo kumpiga mkwe mtarajiwa mahari ya bei kubwa kwa sababu ya muonekano wake, ina tofauti gani na machinga kumtajia mnunuaji bei kubwa kwa sababu ya muonekano wa mnunuaji? Sio maadili hata kidogo.

Hiyo ya kusema mahari ni makubaliano Kati ya mwanamke na mwanaume ipo kwa waislamu tu hiyo mkuu. Wakristo hawanaga hiyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom