Wakristo mjitafakari kwenye suala la mahari, mnawakosea sana binti zenu. Kilichotokea hivi karibuni kwa jamaa yangu kina funzo

Kwamba jamaa yako kabadilishwa dini na mbususu tena ya form four aiseee na unakuja kujisifia hapa. Si angebadili tu tangu mwanzo kuliko kutaka kujibebesha mganda asiyemuweza.
Jua tofauti Kati ya kubadili dini kuwa muislamu na kutunga ndoa ya kiislamu, ni vitu viwili tofauti.

Jamaa anataka mke wa kumuangalizia watoto wake.
 
Jamaa rafiki yangu ( 37 )ni single father with 3 kids ana mchumba wake mganda ambae nae ni single.mother ( 37 yrs) with one kid. Alikuwaga rafiki yake wakati wakisoma chuo wakaja kukutana tena miaka kadhaa baada ya ku graduate jamaa anaishi Dar mrembo anaishi kampala wakaanzisha uhusiano.

Muda wa kwenda kutoa mahari ulikuwa Mwezi uliopita.

Nilikuwa mmoja katika ujumbe ulio ongozana na rafiki yangu na matchmaker ( mshenga) wake .


Wakati wa kunegotiate mahari

Wazazi wakaanza na 15 million Ugandan ambayo ni kama milioni 9 ya Tanzania. ( Walitaja idadi ya ng'ombe then ikawa converted to cash)


Tukakomaa wakashusha mpaka milioni kumi ya Uganda.

Tutakomaa wakashusha mpaka milioni tano ya Uganda.

Mwisho kabisa wakakomea shilingi milioni nne na point kadhaa ya Uganda ambayo ni sawa na milioni tatu ya Tanzania.

Hapo wakasema haipungui hata mia.

Tukaomba tupewe muda tukatafakari kisha tutatoa taarifa ni lini tutarejea tena ukweni kukamilisha hiyo mahari.


Kumbuka hapo tumefikia hotelini.

Basi tulipo enda kujadiliana tukamuuliza muoaji kama bajeti yake ina mruhusu kulipa milioni tatu cash akasema no way out hawezi kulipa mahari yote hiyo.

Akasema alitegemea wangesema milioni moja halafu yeye angetoa laki tano au saba huku akitoa ahadi ya kumalizia mahari iliyo baki

( Waganda hakunaga kubakiza mahari. Wakati hapa Tz kuto kumalizia mahari ni heshima kubwa sana kwa wakwe kwa sababu KWANZA Inaonyesha kwamba bibi harusi sio bidhaa unayo weza kuinunua dukani na kwamba wazazi wa bibi harusi wame kutunuku binti yao ukaanzishe nae familia lakini pili Inaonyesha kwamba wewe muoaji unampenda sana mkeo kiasi kwamba haupo tayari kusubiri mpaka upate mahari kamili )


Mshenga akamuuliza bwana harusi. Hauna alternative mahali kwingine ? Yani hauna mchumba mwingine.


Jamaa akajibu nina mchumba mwingine yupo Tanzania ila yeye ni muislamu na kwao wanataka tufunge ndoa ya kiislamu.

( Mshenga akajibu nilitaka kushangaa unakosaje alternative)

Kisha akamuuliza. Upo tayari kutunga ndoa ya kiislamu? Jamaa akajibu yupo tayari.

Mshenga akajibu tunasubiri nini?

Mshenga akaenda kutoa taarifa ukweni kwamba tunarudi Dar kujipanga na tutarejea tutakapo kuwa tayari.


Jamaa karudi dar ndani ya hizo wiki mbili kavuta jiko na harusi ikafanyika kwa gharama ya kawaida sana na mtoto mwenyewe mbichi kabisa ndo KWANZA kamaliza form four ( anaweza kuwa bado hajawa dis flowered)

Baada ya kuoa jamaa kamjulisha mchumba wake wa uganda kwamba hayupo tena interested na ndoa kwa sababu hizo gharama haziwezi na kwamba ameamua kuoa sehemu nyingine..

Mwanamke wa kiganda kachanganyikiwa sasa hivi anawalaumu wazazi wake tu.


Wakristo hizo zama za wanaume kutoa mahari za mamilioni hazipo tena..

Jifunzeni kwa waislamu..mnawakosesha binti zenu ndoa kwa sababu ambazo hazina msingi.

KWANZA karne hii ukiona mtu "amepandwa na kichaa " cha kutaka kuoa Unapaswa kumpa mke haraka kabla kichaa hakija toweka, ili kichaa kiondoke tayari akiwa na mke ndani ndo akumbuke ' kumbe mimi fala hiviii'

N.B: kwa sababu ya complications zake, familia nyingi za kikristo huwa zina experience ndoa chache sana ikilinganishwa na familia za kiislamu. Dini ya kiislamu imerahisisha sana.suala la.ndoa.

Matokeo yake familia nyingi za kikristo huwa hazi fahamu saikolojia/ siasa za waoaji.

Ni hivi muoaji anapo kuja kwenye familia yako, usifikiri hajaona mwanamke mwingine au hana option nyingine. Most of the time muoaji anapo fikia hatua ya kuja kujitambulisha nyumbani kwenu tayari anakuwa na option zingine kama mbili, tatu au hata nne.

Nikija kwenye familia yako kuchumbia, halafu ukaniletea complications ngumu, mimi nitakacho kifanya nita kuachia binti yako nitaenda kwenye familia ambayo haitaniwekea complications ngumu..


Ninapo kuja kwenye familia yako usinichukulie KWANZA kama mtu ambae ninataka kumuoa binti yako, nichukulie kwanza kama.mtu ambae nimekuja kutazama kama familia yako ina complications au la
Unapozungumzia mrembo ni chini ya miaka 20, hakuna mrembo wa miaka 37 tafadhali sana mkuu.
 
Utakuja kumuoza binti yako kwa jambazi au kidnapper
Majambazi malofa ndio maana hupora .Majambazi ni majitu ambayo hupora hata watoto wa watu na kuwaweka ndani bila kulipa mahari na kuishi nao kama mke na mume sababu malofa

Ukiona jitu hakitaki kulipa mahari jua hilo jambazi lofa linaloenda vya kupora
 
Yani 15M ya UG ni sawa na 9M ya TZ halafu 4M ya UG ni sawa na 3M ya TZ.?
Ila sisi wakristo tunazingua sana upande wa ndoa na mazishi, mambo kibao knoma.

Tatizo hupendi kufikiria. Nimesema 3 million tzs ni sawa na 4. Something Ugandan.
 

Attachments

  • Screenshot_20220905-112319.png
    Screenshot_20220905-112319.png
    20.4 KB · Views: 10
Majambazi malofa ndio maana hupora .Majambazi ni majitu ambayo hupora hata watoto wa watu na kuwaweka ndani bila kulipa mahari na kuishi nao kama mke na mume sababu malofa

Ukiona jitu hakitaki kulipa mahari jua hilo jambazi lofa linaloenda vya kupora

Hakuna watu wanapenda kutumia pesa vibaya kama majambazi/ kidnappers.
 
Mwanamke ameshazishwa halafu eti unahitaji mahari ya milion? kwa kipi? Yaani hawa ambao wakija wanataka uwahuudumie kuanzia chupi hadi nywele vyote kwako yeye hana chopchote cha kuoofer zaidi ya stress na mawivu yasiyo na kichwa wala miguu.
Bado akutie ukilema wazazi ukiona kweli Mwanaume amejitokeza kuja kukuondolea hilo tatizo nyumbani kwako shukuru Mungu mruhusu kwa moyo mmoja kuliko kugeuza mwanamke kuwa saleable products
Thamani ya mwanamke haipimwi kwa idadi ya watoto aliozaa.Mtoto wa kike wa bakhresa hata awe na watoto Kumi.akitaka kuolewa huwezi skatolewa kwa bei ya kutupwa

Thamani yake inakuwa determined pia na familia anayotokea

Kusema akizaa eti kidume chochote kikitokea sawa tu nyooo.Hakuna kwanza kama unajiona kina thamani kubwa si kiende kikaoe wasichana wasio na watoto

Kuoza mtu kuna hadhi sio kila bwege anaozeshwa
 
Kwa sisi waislamu mahari anaitaja binti mwenyewe kwa sababu yeye ndio anajua mtu wake ana uwezo kiasi gani.

Anaweza kusema anataka Msahafu sawa..

Hata usipo pokea mahari vado wahuni wata fanya yao
hiki ndicho mzazi anatakiwa askijue kuwa ukiendelea kumfanya biashara ataendelea kuliwa na kubebeshwa mimba hapo nyumbani hadi ukome........yaani wazazi badirikeni unamtoza mahari kubwa bado akiwa kwa mume wake bado mnahitaji aendelee kuwatunza na kuwahudumia tena kila siku simu za kulia shida kwa mkwe wenu haziishi bado mtoto wenu hajaamsha kichaa cha kuanza kumpa kisukari mume wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom