Krikichino
JF-Expert Member
- Oct 5, 2019
- 651
- 1,098
Yes! ukimuuliza mtu yeyote kuhusu Korea atakwambia kuhusu series kama IRIS, BRIDAL MASK, HOTEL DE LUNA AU CITY HUNTER.
Lakini vipi kuhusu movkes za kikorea mbona hatuzioni mtaani? Hata kama zipo kwanini sio popular kama series au kama hollywood?
Jibu ni ndio! Wakorea wanatengeneza movies, tena nyingi tu. Kama ambavyo US ina HOLLYWOOD , India kuna BOLLYWOOD Korea ina HALLYUWOOD na kuna makala zinasema kwamba ukiitoa Nigeria inawezekana HALLYUWOOD ni ya 3 kwa kuwa na industry kubwa zaidi ya filamu duniani.
Kuna movie za Korea zimepata hadi OSCARS mfano mzuri ni PARASITE iliyotoka 2019 ambapo ilichukua tuzo nne katika oscars za mwaka 2020 ikiwemo rhe most important category ya BEST PICTURE.
Juzi juzi hapa movie ya MINARI kutokea South Korea japo iliigiziwa marekani ilipata nominations nyingi kwenye Oscars huku Bibie YOUN YUH JUNG akishinda kwenye kipengele cha BEST PERFOMING ACTRESS.
Hiyo inaonesha ni kwa namna gani movies kutokea Korea zinapiga hatua, huku LOTTE CINEMA na CJ E zikiwa ndio kampuni zinaongoza kwa kutengeneza na ku-screen filamu kama ambavyo STEPS ENTERTAINMENT ilikuwa kipindi flani hapa Tanzania.
KWANINI HATUZIONI MOVIE ZAO?
Wengi tushazoea kuangalia series za kikorea lakini sio movies. Sasa hatuzioni kwa sababu movie zao nyingi zinaoneshwa kwenye cinemas.
Na hapo Bongo hakuna cinemas nyingi kwa ajili ya kuangalia movies ukiachana century cinemax which is dedicated kwa wamarekani. Naamini kungekuwa na utitiri wa theatres basi hata Korean series zingepata nafasi.
Kuna baadhi ya Korean movies zinapatkana online. Kwenye suala la streaming pia bando ni ishu na kuna movies pia kutokea Korea ambazo hazipo Online. Mfano PARASITE mpaka sasa hivi haijawekwa Netflix hivyo watu wanashindwa kuangalia.
Kuna kipindi hapa katikati shirika la KOTRA Lilianzisha program ya kuonesha Korean movies katika theatres za Tanzania wakiwa wanaadhamisha ile siku KOREAN FILM FESTIVALS
Ya mwisho ilikuwa pale Kwenye Century Cinemax ya Dar Free Market mwaka 2019 kari ya siku ya tarehe 14 na 15 June bure kabisa bila kiingilio
Sijajua iliishia wapi lakini such events zingekuwa nyingi basi watu wengi wangehamasika kufatilia Korean Movies.
Uzi Tayari
View attachment 1777860