Wakopeshaji wa vifaa vya kilimo na ujenzi (EFTA) ni wahuni?

Uhuni wa EFTA upo kwenye riba, yani unatoa 10%-20% ya mkopo halafu wao wanatoa 80%-90% lakini riba inakuwa calculate kwa kutumia 100% ya mkopo badala ya kutumia Hiyo 80%-90% waliyotoa wao.
Yeah, hapo kimsingi unakuwa umekopa hiyo 80%-90% wanayotoa wao
 
Uhuni wa EFTA upo kwenye riba, yani unatoa 10%-20% ya mkopo halafu wao wanatoa 80%-90% lakini riba inakuwa calculate kwa kutumia 100% ya mkopo badala ya kutumia Hiyo 80%-90% waliyotoa wao.
Riba zao zikoje? Kwa mwaka
 
Taratibu mkuu. Usikurupuke. Nakushangaa sana 'engineer'. Sina uhakika kama kweli wewe ni engineer ambaye ningetegemea uwe na uwezo wa kuchambua mambo.

Engineer kwa hiyo wewe kila kinachoandikwa kwenye internet ndio taarifa sahihi. Au unamaanisha niingie kwenye website yao EFTA ndiko nitapata taarifa sahihi? Mtu ambaye nataka kujua kama ni mkweli, nikamsome alivyojiandika. Au unataka niperuzi page za yahoo, google, facebook ili nipate ukweli wa mtu ambaye sina uhakika naye. Ni sawa na researcher kutumia Wikipedia kwenye tafiti zake. BTW hapa tunatumia internet na tunapata taarifa, na wewe umetoa taarifa. Hivi huwa waona watu wanaandika review ya huduma au product fulani? Unadhani huwa zinasaidia nini?

Kama wewe ni mwajiriwa au mmiliki au ndugu wa mmiliki wa EFTA njoo utoe taarifa sahihi.

EFTA ni suluhisho la mjasiria mali , na wana MTAJI wakutosha hata ukitaka kiwanda cha 2B wanakupa na hawana uhuni kama unavyodai, Mimi tayari wamenipa Gari ya 92M na ninampango wanipe magari 10 yenye thamani karibia 1B kwa ajili ya miradi yangu.

Wewe kama unahitaji mkopo usiokua na dhamana nenda EFTA ofisini kwao usitafute taarifa mtaani, ila kama unataka mkopo mgumu kulipa ulizia hapo mtaani kwako uelekezwe vilipo VIKOBA !
 
Nadhani wewe ndio muhuni kwa kutoa tuhuma bila kujiridhisha.Utaratibu wa kutoa mikopo unaofanywa na taasisi zisizo mabenki mara zote wanataka commitment ya mkopaji pia.Kama machine inauza M10 basi unahitajika utoe fedha asilimia kadhaa ya thamani ya machine.Huo ni utaratibu.Usipotaka kufanya hivyo basi acha kuchukua mkopo.
Kuna hii taasisi inaitwa Equity for Tanzania (EFTA) inayodai inakopesha vifaa vya ujenzi imenipa utata.

Dada yangu ni mjasiriliamali wa kutengeneza matofali, nyanda za juu kusini. Hivi karibuni alinishirikisha kwamba anataka kuchukua mkopo wa milioni 30 wa vifaa vya ujenzi kwa hao EFTA tawi la Mbeya, ambapo wanashirikiana na Equity Bank Mbeya mjini. Kitu ambacho kimetushangaza ni kwamba hiyo ofisi inayodaiwa ni ya EFTA Mbeya mjini wanataka 20% ya milioni 30 ilipwe ofisini cash (ati ni pesa ya ofisi) kabla ya mkopo kuwa processed. Cha ajabu ni kwamba hata hizo mashine hawatengenezi wao, bali inabidi uwasiliane na mtengenezaji, ambaye inabidi akupe invoice, ambayo ndiyo itapelekwa benki.

Huhitaji kuwa na akili kubwa sana kujua kuwa huu ni uhuni, lakini najiuliza kama huu uhuni ni wa wafanyakazi wa EFTA tawi la Mbeya au EFTA kwa ujumla?

Inabidi tujuzane ili watu wasije wakalizwa...
 
EFTA ni suluhisho la mjasiria mali , na wana MTAJI wakutosha hata ukitaka kiwanda cha 2B wanakupa na hawana uhuni kama unavyodai, Mimi tayari wamenipa Gari ya 92M na ninampango wanipe magari 10 yenye thamani karibia 1B kwa ajili ya miradi yangu.

Wewe kama unahitaji mkopo usiokua na dhamana nenda EFTA ofisini kwao usitafute taarifa mtaani, ila kama unataka mkopo mgumu kulipa ulizia hapo mtaani kwako uelekezwe vilipo VIKOBA !

Ilichukua siku ngapi ,ku-proccess mkopo wako mpaka wakakupa.!
 
Wanalipa vizuri wafanyakazi wao, wana vimshahara vyao vinono kama mtu wa finance controller anakula 9m wanawazidi hadi mashirika ya serikali...

Hoja ni kwamba mkopo una mutual benefit, both side lazima mnufaike
 
Sio uhuni ndo masharti ya kula lazma uliwe.yupo jamaa yangu aliomba mkopo wa machinery gari yenye friza tani 2 na nusu.alifanikiwa na alipitia hatua kama ivo na 5 percent ya mkopo alilipa+takrima.it takes slopes&hills to succeed.no paths are so clear
Umeongea vyema
 
EFTA ni suluhisho la mjasiria mali , na wana MTAJI wakutosha hata ukitaka kiwanda cha 2B wanakupa na hawana uhuni kama unavyodai, Mimi tayari wamenipa Gari ya 92M na ninampango wanipe magari 10 yenye thamani karibia 1B kwa ajili ya miradi yangu.

Wewe kama unahitaji mkopo usiokua na dhamana nenda EFTA ofisini kwao usitafute taarifa mtaani, ila kama unataka mkopo mgumu kulipa ulizia hapo mtaani kwako uelekezwe vilipo VIKOBA !
Umetoa taarifa nzuri, kweli EFTA sio wazinguaji wanajiweza mno, hata mishahara yao sio midogomidogo,
 
Back
Top Bottom