Wakongwe ndani ya CCM tunaumia waliokuwa upinzani kuteuliwa kila kukicha

Subra ni ibada pia.Kuweni watulivi mutapata nafasi muda utakapofika,ni vizuri pia wakati munasubiri munge endeleza elimu zenu.
 
Ni wivu tu, je hao ni ni asilimia ngapi katika wateuliwa wote? Kazi ziko nyingi fanyeni, mkikaa kusubiri teuzi mtakufa masikini.
 
Najaribu kuangalia sura za kina Jonh mbatizaj na kipara cha zaman wanavobwabwaja huk huku wakutoka upande wa pili!hata kama n bando mnawekewa inabid ss muone inatosha kwan mtakua tu kama TP kutumika na kutupwa
 
hakuna sehemu CCM imetoa ahadi ya vyeo kwa wanachama , kutoa cheo kwa wanachama ni hisani tu zisizotarajiwa ila wana- CCM ndio wanaahidi na ndio maana kuna ahadi 9 za wanachama wa CCM na si ahadi 9 kwa wanachama wa CCM.
Utajikuta unaumia siku zote kwa kukosa cheo, ni kwa sababu cheo chochote anachotoa rais walengwa wake ni wananchi milion 55 bila kujalisha ni wa chama gani, dini gani, kabila gani, rangi gani ili mradi awe mtanzania.

Muombe Mungu akupake mafuta ya uongozi kama Daudi( kwenye biblia) naamini, nafasi yako itawekwa mbele na teuzi zinazofata utakuwa wewe
 
Ki
Anna Mngwira RC Kilimanjaro

David Kafulila RAS Katavi

Patrobas Katambi DC Dodoma

DC Tunduma

Wilbroad Silaa

Profesa Lipumba

Na wengineo wengi wanaula sana wakihamia CCM.

Wakongwe ndani ya CCM tuwe wapole.

Julius Mtatiro nae kaula.
Kitila mkumbo
 
Hii ni Nchi yetu wote,sio ya wana CCM tu
Anna Mngwira RC Kilimanjaro

David Kafulila RAS Katavi

Patrobas Katambi DC Dodoma

DC Tunduma

Wilbroad Silaa

Profesa Lipumba

Na wengineo wengi wanaula sana wakihamia CCM.

Wakongwe ndani ya CCM tuwe wapole.

Julius Mtatiro nae kaula.
 
Tupo upinzani mchana tu, usiku tunarudi nyumbani kuripoti kilichojiri ugenini. Chezea ujasusi wewe kijana, utalala mlango wazi
 
Anna Mngwira RC Kilimanjaro

David Kafulila RAS Katavi

Patrobas Katambi DC Dodoma

DC Tunduma

Wilbroad Silaa

Profesa Lipumba

Na wengineo wengi wanaula sana wakihamia CCM.

Wakongwe ndani ya CCM tuwe wapole.

Julius Mtatiro nae kaula.
Mkimaliza hao mtahamia kwenye nani wa zamani na nani mpya.... Na hao mkishawamaliza mtahamia wewe wa kanda ipi.... Mkimaliza hao mtahamia kwenye historia ya familia, je waliwahi KUSHIKA madaraka chamani...
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom