Wakoloni bila kuitawala Afrika

Daktari wa Manchester

JF-Expert Member
Jun 1, 2020
350
401
Salute wakuu,

Kuna muda huwa nakaa najiuliza kama wazungu (wakoloni) wasinge tutawala Afrika tungekuwa wapi leo na uchumi wengi ungekuaje ukilinganisha na maisha mengine kama India, Amerika Kusini.

Kuna kitabu nimekisoma kimeeleza kwa kama wazungu wasingetutawala tungekuwa mbali katika sekta ya ufundi maana kipindi hicho kulikuwa na uundaji was vitu mbalimbali Kama vikapu na jee vinegeweza kusukuma uchumi wetu.

Mwenye dukuduku hapo chini
 
Kwenye shida lazima uwe mbunifu
Kutawaliwa tu haikutufanya tuwe kama tulipo leo bali uonezi na kufanywa kuwa ni watu wa chini kabisa

Ila tungeweza kufanya mengi sana
Rejea uyeyushaji wq chuma wazungu walikuja kujua miaka 1400 baada ya Wahaya kugundua kama sikosei

Sasa kama walikuwa na akili ya kuyeyusha chuma wazee wale je Africa yote ingekuwaje na utajiri wa kina Mansa Mussa
 
Tulikuwa na maisha mazuri tu
Hadi kiuchumi,inasemekana wazungu
Walikuja wakatuchungulia wakatukuta
Tuko vizuri, wafrika wako na maisha yao,waliondoka wLiporudi wakaja
Kuruvuruga
Biashara ya utumwa ndiyo imetuvutuga mpaka leo,kwanza historia tuliyosoma na tunayofundishwa mpaka leo ina fix fix nyingi
Haielezi ukweli kuhusu mwafrika

Ova
 
Mnajidanganya,mlikuwa mnakaa mapangoni na kuvaa magome ya miti na ngozi kama mabushmen
 
Nchi ingekekua ya kijani sana kwani kusingekuwepo na ujataji miti, kusingekuwepo na magari tungeendelea kula kwa kulima na kuokota as normal na hakuna ambayo angehisi utofauti wowote ule either Wa ugumu au wepesi Wa maisha
 
Back
Top Bottom