Kama kawa kama dawa...Baada ya kuachwa na my wife wangu Madam B na kukimbilia kwa yule jamaa wa siasani, ilinibidi nitafute muda kidogo wa kufind myself. lakini namshukuru Mungu kwamba nimerudi salama. Niko hapa na Chimbuvu naandaa mikakati kabambe ya mapinduzi makubwa. Naandaa Waraka ili tumuengue Baba V tumechoshwa na rais wa milele kama Idd Amini.
Hata hivyo niliwamiss sana watu wangu wa nguvu @mkiva Arushaone Donn tedo Chibolo etc........
Pia hawa :-
kipipi
sweetlady
eversmilingal
@cl
Kijino
Ciello
Elia g kamwela
platozoom
gfsonwin
BADILI TABIA
BAGAH
@st paka mweusi
Miss Bantu
hata mi simuoni figganigga sijui kawekwa chupani na wii wangu Heaven on Earth
figganigga aka kobun yuko sana.................sema sa hivi sitaki atoke toke sana
macho ya watu wanamvizia sana mume wangu
Inabidi shemeji yetu Heaven on Earth aje atuambie kaka yetu kaenda wapi coz siku zinakata atumuoni pia kupitia chit chat rais wetu Arushaone na first lady a.k.a Miss Lady doctor watupe muongozo @figganiga aonekani atakuwa wapi?
heeee! Kumbe figganigga ndio kobun loooooh
Makubwa haya shemeji yangu umesema mzee wa mia ndiye kobun dah jamaa aonekani ok msalimie sana abiria chunga mzigo wako.
figganigga nasikia kabadilishwa sura pamoja na jina ukimuona huwezi mtambua kama Michael Jackson vilee
Kumbe una mume?
Mh! Mechi ilikuaje?
figganigga aka kobun yuko sana.................sema sa hivi sitaki atoke toke sana
macho ya watu wanamvizia sana mume wangu
wii kaka ako yupo sana na hapa ndio namwandalia kifungua kinywa baada ya uchovu wa mechi ya jana
cc kobun
Wacha bwana! Miss wetu Lady doctor kumbe lakini mbona ajatuambie lakni ok kobun.
mi mwenyewe nashangaa kwa nini hajatuambia bily
Kweli nimeamini mwanaume ukioa waweza ata badili jina , dini nk kila nikimention kaka yetu inagoma nikasema ntauliza kumbe kutoka figganiga hadi kobun mkuu tushakuzoea tunakuomba uje huku utuambie ilikuaje hadi uka change username au mambo ya kifamilia nisamehe shemeji yangu Heaven on Earth km ntakua nimeinglia majukumu ya kifamilia yenu.
@St pakamweusi ana ndoa mpya inawezekana kapigwa stop jf.
Acha kabisa mama, mimi ni wa kuhurumiwa tu wala usisikie na ukizingatia shughuli yenyewe ni zao la JF....