Wako wapi watu hawa?

mshana org

JF-Expert Member
Jan 28, 2012
2,091
618
Wakuu salamu natumai muwazama kama mimi kiafya na munaendelea kusukuma gurudumu la maisha kama kawa.baada ya kurejea ndani yakijiji kutoka huko ughaibuni siku kadha zilizopita nilifurah kuwakuta na mukanipokea.badae ilinilazimu kutembelea vijiji vingine kuwasabah ndugu na jamaa kama ilivyo destur yangu.chakushangaza mpaka namaliza vijiji ya wilaya hii ya jf sijawah kutana na watu hawa.ruhazwe jr.ruttashobolwa,badili tabia.chili.mzalendo,zero two one,tanmo,don mangi,sumbalawinyo,cute,mtu chake,bigirita,marejesho,kapistrana,na mtu niliyempigiaga misele sana enzi hizo umiy kuluthumu.list nindefu ila naomba kutambua michango yao.sijui wamebadi nyuso zao za utambulisho au wanachezea kifungo.naomba kuwakilisha.

Cc arusha one
paka jimiy
baba v.
MADAME B.
 
hao watu kuna wengne wameolewa/kuoa so JF kwao kupatana ni nadra ila Ruttashobolwa na CUTE wapo wanaonekana sana. Upande wangu simuoni rafiki angu @figganiga mzee wa mia sijui Heaven on Earth anamuweka sana bize kaka yetu?
 
Last edited by a moderator:
Wakuu salamu natumai muwazama kama mimi kiafya na munaendelea kusukuma gurudumu la maisha kama kawa.baada ya kurejea ndani yakijiji kutoka huko ughaibuni siku kadha zilizopita nilifurah kuwakuta na mukanipokea.badae ilinilazimu kutembelea vijiji vingine kuwasabah ndugu na jamaa kama ilivyo destur yangu.chakushangaza mpaka namaliza vijiji ya wilaya hii ya jf sijawah kutana na watu hawa.ruhazwe jr.ruttashobolwa,badili tabia.chili.mzalendo,zero two one,tanmo,don mangi,sumbalawinyo,cute,mtu chake,bigirita,marejesho,kapistrana,na mtu niliyempigiaga misele sana enzi hizo umiy kuluthumu.list nindefu ila naomba kutambua michango yao.sijui wamebadi nyuso zao za utambulisho au wanachezea kifungo.naomba kuwakilisha.

Cc arusha one
paka jimiy
baba v.
MADAME B.

Baada ya kuachwa na my wife wangu Madam B na kukimbilia kwa yule jamaa wa siasani, ilinibidi nitafute muda kidogo wa kufind myself. lakini namshukuru Mungu kwamba nimerudi salama. Niko hapa na Chimbuvu naandaa mikakati kabambe ya mapinduzi makubwa. Naandaa Waraka ili tumuengue Baba V tumechoshwa na rais wa milele kama Idd Amini.
Hata hivyo niliwamiss sana watu wangu wa nguvu @mkiva Arushaone Donn tedo Chibolo etc........
 
karibu sana sisi bado tupo chaliiraa
 
Back
Top Bottom