cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,295
Nawasalimu kwa jina la CAG muitikie Tumepigwa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawasalimu kwa jina la CAG muitikie Tumepigwa sana
Mpaka sasa wameamua kujenga sanamu ili wamuabudu maana kila siku wanapiga mbinja za kumtetea Ila Mungu wao anazidi kupotea tu.Wote tulitegemea baada ya kifo cha ghafla cha Rais Magufuli, tungeona kundi fulani likijipambanua kuwa ni wafuasi kindakindaki wa Magufuli na siasa zake.
Hii tulitegemea ingeleta siasa kali za ushindani mkubwa ndani ya CCM, zile siasa tulizokuwa tunazisema za CCM-Asilia na CCM-Magufuli. Najua Magufuli alijaribu sana, ingawa nadhani kwa mafanikio madogo, kujijengea wafuasi wake wa kisiasa. Wengi aliwapa vyeo, wengine wengi akawaingiza Bungeni.
Cha ajabu, toka kifo chake kumekuwa na ukimya wa ajabu kutoka kwa watu hawa. Wengine wamepata hata ujasiri wa kupinga waziwazi baadhi ya sera zake. Na mwenendo unavyokwenda, inaonyesha mbinu anayoenda kutumia Rais Samia ni kuwatumia hawa hawa watu waende kufichua madudu yoyote yaliyokuwa yanafanyika. Anaenda kulivunja hili kundi kwa kutumia mikono yao wenyewe. Wengi wasipokuwa makini wanaenda kupotea kabisa kisiasa.
Inamaanisha, katika miaka mitano ya utawala wake, Magufuli hakufanikiwa kushawishi viongozi wa kutosha wa kusimama kidete na kutetea kile alichokuwa anakisimamia?
Mbona baadhi ya wananchi wa chini waliamini sana katika 'Maono ya Magufuli'? Ina maana hakuna mtu hata mmoja ndani ya CCM aliye na utashi, matamanio na ujasiri wa kisiasa wa kuwa mobilize hawa watu, ili kufaidika na mtaji wa kisiasa alioacha Magufuli?
Kunywa sumu umfuate akakuongoze na malaika waasi...Magufuli hakuwa na wafuasi ila aliishi kwenye mioyo ya watanzania wote kasoro wajinga flani wachache. Kwa hiyo ukimtaja Magufuli unataja maisha ya kila mtanzania mzalendo mpenda maendeleo.
Sawa mangi.Kunywa sumu umfuate akakuongoze na malaika waasi...
Poa ngoshaSawa mangi.
Nipo,na mbegu aliyoipanda haitakufa. Siku zaja.Wote tulitegemea baada ya kifo cha ghafla cha Rais Magufuli, tungeona kundi fulani likijipambanua kuwa ni wafuasi kindakindaki wa Magufuli na siasa zake.
Hii tulitegemea ingeleta siasa kali za ushindani mkubwa ndani ya CCM, zile siasa tulizokuwa tunazisema za CCM-Asilia na CCM-Magufuli. Najua Magufuli alijaribu sana, ingawa nadhani kwa mafanikio madogo, kujijengea wafuasi wake wa kisiasa. Wengi aliwapa vyeo, wengine wengi akawaingiza Bungeni.
Cha ajabu, toka kifo chake kumekuwa na ukimya wa ajabu kutoka kwa watu hawa. Wengine wamepata hata ujasiri wa kupinga waziwazi baadhi ya sera zake. Na mwenendo unavyokwenda, inaonyesha mbinu anayoenda kutumia Rais Samia ni kuwatumia hawa hawa watu waende kufichua madudu yoyote yaliyokuwa yanafanyika. Anaenda kulivunja hili kundi kwa kutumia mikono yao wenyewe. Wengi wasipokuwa makini wanaenda kupotea kabisa kisiasa.
Inamaanisha, katika miaka mitano ya utawala wake, Magufuli hakufanikiwa kushawishi viongozi wa kutosha wa kusimama kidete na kutetea kile alichokuwa anakisimamia?
Mbona baadhi ya wananchi wa chini waliamini sana katika 'Maono ya Magufuli'? Ina maana hakuna mtu hata mmoja ndani ya CCM aliye na utashi, matamanio na ujasiri wa kisiasa wa kuwa mobilize hawa watu, ili kufaidika na mtaji wa kisiasa alioacha Magufuli?
Chato imekufa kibudu kabisa sijui ile miradi ya sifa iliyotafuna kodi zetu Chato sijui Ina hali ganiWako chato wanaomboleza
ChawaWAFUASI KINDAKI NDAKI WA JPM TUKO IMARA KABISAA. KWA SASA TUKO NA MAMA YETU JEMADARI RAISI WA TANZANIA MH. SAMIA SULUHU . KAZI INAENDELEA KAMA ILIVYOPANGWA.
Ndochakula chenu hapo ufipani siku iziiii.Chawa