Wako wapi "Weusi 10 ngangari'' (W10)?

Dibo10

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,298
1,563
Wadau sina shaka mnawakumbuka hawa jamaa, Kwa kiasi kikumbwa neno makaratee( mitikasi) walilifanya maarufu kutokana wimbo wao wa MAKARATEE mwanzoni mwa miaka ya 2000.

Hawa jamaa wako wapi? Kwa zaidi ya miaka 14 imekuwa nadra sana kuusikia huu wimbo hewani. Nakumbuka verse ya kwanza imeimbwa na Jini Jeshi kama kumbukumbu zangu ziko sahii·

Verse 1. Kuna sehem jamaa anaema.........kama naniwe we uvamiwe ulete mawenge upigwe kijiwe,wee we utolewe machungu mmoja wao kiwanja niwe.....Tukumbushane wadau....kama mtu ana link auweke ule wimbo hapa tujikumbushe
 
Ukipata ngoma yao ntumie lilikuwa bonge la ngoma. ..maskani live mke wa mtu kaukalia. .maji ya ugoko kuna verse ya dogo kama msomali alikuwa hatari
 
Wadau sina shaka mnawakumbuka hawa jamaa, Kwa kiasi kikumbwa neno makaratee( mitikasi) walilifanya maarufu kutokana wimbo wao wa MAKARATEE mwanzoni mwa miaka ya 2000. Hawa jamaa wako wapi? Kwa zaidi ya miaka 14 imekuwa nadra sana kuusikia huu wimbo hewani. Nakumbuka verse ya kwanza imeimbwa na Jini Jeshi kama kumbukumbu zangu ziko sahii···· verse 1. Kuna sehem jamaa anaema.........kama naniwe we uvamiwe ulete mawenge upigwe kijiwe,wee we utolewe machungu mmoja wao kiwanja niwe.....Tukumbushane wadau....kama mtu ana link auweke ule wimbo hapa tujikumbushe
Mkuu chonde chonde hiyo ngoma MAKARATEE kama ukiipata naomba uimwage hapa,ni ngoma moja nilikuwa naipenda sana,natanguliza shukrani mkuu
 
"Eyoh eyoh makaratee hey u know makaratee,nikipata visa unyamwezini naingia ova stay" kitu kama hicho
 
hahaha mkuu hiko kipande unakikumbuka eeh...hahahah
 
Mkuu chonde chonde hiyo ngoma MAKARATEE kama ukiipata naomba uimwage hapa,ni ngoma moja nilikuwa naipenda sana,natanguliza shukrani mkuu
Shaka ondoa mkuu ikipatikana tutashare hapa hapa jukwaaani
 
"Eyoh eyoh makaratee hey u know makaratee,nikipata visa unyamwezini naingia ova stay" kitu kama hicho
hahah mkuu nimekubali yaani zile part muhimu zote unazikumbuka,niliwahi kusikia jamaa alitembea Usa,na naamini ameoverstay
 
Yaani ile ngoma ulikuwa noma sana
makaratee hey you know makaratee napiga mikito mingi mishiko watu hey hey,nacheza hip hop weusi fyatu bongo hatuenei nina vichwa vitatu venye ghazabu cape au bombay....lal la la la......mi nunda kamanda wa jeshi,nifanye nini niepukane na kesi,kesi kwangu ni kubwa makaratee yameshadunda,nyuki fumuka,famba mitumba............daah yaani mistari inakuja kisha inapotea....kweli utu uzima una mengi
 
Wadau sina shaka mnawakumbuka hawa jamaa, Kwa kiasi kikumbwa neno makaratee( mitikasi) walilifanya maarufu kutokana wimbo wao wa MAKARATEE mwanzoni mwa miaka ya 2000. Hawa jamaa wako wapi? Kwa zaidi ya miaka 14 imekuwa nadra sana kuusikia huu wimbo hewani. Nakumbuka verse ya kwanza imeimbwa na Jini Jeshi kama kumbukumbu zangu ziko sahii···· verse 1. Kuna sehem jamaa anaema.........kama naniwe we uvamiwe ulete mawenge upigwe kijiwe,wee we utolewe machungu mmoja wao kiwanja niwe.....Tukumbushane wadau....kama mtu ana link auweke ule wimbo hapa tujikumbushe
Kaka salama? Huu wimbo uliupata? Nautafuta aisee
 
Hao wavuta bange ndio walifanya Bongo Flava ionekani muziki wa kiuni.

shukrani kwa Profesa Jay aliekuja kuleta mabadiliko...

Asante kwa Dully Sykes bila Ujumbe wa Salome mpaka Leo hawa wahuni wangeendelea kutamba vijiweni.
 
Wewe lazima masela walishawai kukufanyia shambulio la aibu. Haupo sawa psychologically.
 
makaratee hey you know makaratee napiga mikito mingi mishiko watu hey hey,nacheza hip hop weusi fyatu bongo hatuenei nina vichwa vitatu venye ghazabu cape au bombay....lal la la la......mi nunda kamanda wa jeshi,nifanye nini niepukane na kesi,kesi kwangu ni kubwa makaratee yameshadunda,nyuki fumuka,famba mitumba............daah yaani mistari inakuja kisha inapotea....kweli utu uzima una mengi

Za kichnachna za kichnachna uwaaa!
 
Back
Top Bottom