Niko kituoni na washirika wenzangu muda sasa. Kimya kimya lakini hamasa kubwa moyoni.
Iziraeli atupishilie mbali.
Tunataka haki. Inshallah kutokana na haki amani hapa itatamalaki tu.
Sala zetu kote haki na ikatendeke tukiwakumbuka wale wote waliotutangulia kwa kusimama na haki.
Nimekuwa naangalia nyuzi mbali mbali tangia jana, hata huko kwenye mitandao mingine ambako bila VPN ni kweusi. Ma lb7, mataga na mshabiki nguli wa chama mboga mboga wote wamepotea.
Au labda hawataki kutumia VPN kuitikia mapenzi ya chama chetu? Au nao ni mshabiki wa hii mitandao kupotea ikibidi moja kwa moja?
Eeh mola wetu mshindi na akatangazwe mshindi.
Amani na ikawe na kila mpenda haki.
Tunayo siku ndefu leo inshallah.