Uchaguzi 2020 Wako wapi Makada kindaki ndaki wa CCM?

Wako bize wanahamasisha makada wao wakapige kura! Nyumba kwa nyumba kitanda kwa kitanda! Twita hakuna wapiga kura! Tutakutana kesho kufurahia ushindi wa kishindo

Wewe ni yupi katika wao, lb7 au Taga? Kumradhi kukuuliza lakini.
 
31 Reactions
Reply
Back
Top Bottom