Wako wapi akina Dr Ndodi,Nikiza,Fiterawa...nk

Ukitaka kupiga pesa nchi hii.
Wewe zungumzia Masuala ya afya hususani nguvu za kiume , na afya kiujumla utapiga pesa balaa.

Kingine wewe anza kuhubiri na uwe na kipawa cha miujiza utapiga pesa sana.
 
Ndodi alikuwa anajua kubwabwaja sana..Kawapiga sana watu pesa..Kazunguka karibia mikoa yote..
 
Hawa waganga wa jadi walijitwalia umaarufu sana kwenye runinga zetu pendwa wakinadi dawa zao za kienyeji...wenyewe wakiziita tiba mbadala...hivi wamepotelea wapi?...ni kwamba biashara imeshawalipa vya kutosha sasa wanakula faida?
Itakuwa wali tofautia na Dr kigwa,

Si una kumbuka hata Dr MWAKA, aliyo mkuta na FOREPLAN yake......!
 
Back
Top Bottom