Wako wapi akina Belle 9 na Pasha?

Hizi nyimbo zao nazisikiliza kila siku mpaka mzungu wangu anaona wivu ukizingatia haelewi lugha hahahahaha.

Wimbo wa Belle9 listen, vitamin music, nilipe nisepe, etc. Nyimbo za Pasha Hidaya, Ni soo. Naposikiliza hizi nyimbo mashetani yangu hunipanda mbaya nakuwa kama niko mbinguni. Bila kumsahau Banana Zorro.

True legends please toeni nyimbo mpya mimi shabiki yenu bado nawahitaji na nawakubali sana. Niko tayari kujitolea u video queen maana vigezo ninavyo. Popote mlipo jua mimi Ashera nawakubali kuliko kitu chochote. My all time bongo fleva artists, best of the best
Naikumbukaga pisi yangu kali ilikuwa inaupenda sana huu wimbo Hidaya!
 
Hizi nyimbo zao nazisikiliza kila siku mpaka mzungu wangu anaona wivu ukizingatia haelewi lugha hahahahaha.

Wimbo wa Belle9 listen, vitamin music, nilipe nisepe, etc. Nyimbo za Pasha Hidaya, Ni soo. Naposikiliza hizi nyimbo mashetani yangu hunipanda mbaya nakuwa kama niko mbinguni. Bila kumsahau Banana Zorro.

True legends please toeni nyimbo mpya mimi shabiki yenu bado nawahitaji na nawakubali sana. Niko tayari kujitolea u video queen maana vigezo ninavyo. Popote mlipo jua mimi Ashera nawakubali kuliko kitu chochote. My all time bongo fleva artists, best of the best
Belle9 anatoa nyimbo
 
Belle 9 kuna kipindi tulikuwa tunalima nae mpunga kule ifakara.. sijui kapotelea wapi now days.
 
Back
Top Bottom