Wako anataka nini?

Pearl

JF-Expert Member
Nov 25, 2009
3,036
309
Mke anaeishi MASAKI akimuagiza mumewe"honey plz ukitoka kazini nilitee soseji,piza au kuku,plz swty usisahau"
Ishu ipo kwa Mke wa TANDALE"Utackia "wewe Juma usisahau ukirudi uje na miguu ya kuku,muhindi wa kuchoma weka na ndimu na pilipili nyingi,embe ng'ong'o,mihongo ya kukaanga na utumbo wa kuku usisahau kuweka ndimu na pilipili"
WW MKEO/MUME NI WA WAPI?ANAANGIZA VIPI?
 
nanukuu "Baba Jr leo nina hamu ya vibua urudipo pitia feri basi waambie wakukaangie kabisa na pilipili waweke pembeni mie utakuta nshapika ugali, pia usisahau wale kuku wekundu hata nusu kilo pale kwa mpemba kariakoo"
 
''....AITHEE MUME WANGU GEOFF,naomba uniletee valuu mbili na kongoro bomba aithee'':D
 
Mke anaeishi MASAKI akimuagiza mumewe"honey plz ukitoka kazini nilitee soseji,piza au kuku,plz swty usisahau"
Ishu ipo kwa Mke wa TANDALE"Utackia "wewe Juma usisahau ukirudi uje na miguu ya kuku,muhindi wa kuchoma weka na ndimu na pilipili nyingi,embe ng'ong'o,mihongo ya kukaanga na utumbo wa kuku usisahau kuweka ndimu na pilipili"
WW MKEO/MUME NI WA WAPI?ANAANGIZA VIPI?

"Hun ukirudi naomba uniletee mtarimbo ukiwa haujatumiwa na mtu mwingine"
 
this is my husband....pls. Comeback home first...

naaanza kukubali mamiii.................. at least wewe umeenda direct to the point. kwa nini uagize vipeperushi wakati kitu real unachotaka unakijuaaaaa????????????

aje kwanza na hayo mengine mtatuma hata vijana............ebo................
 
Mke anaeishi MASAKI akimuagiza mumewe"honey plz ukitoka kazini nilitee soseji,piza au kuku,plz swty usisahau"
Ishu ipo kwa Mke wa TANDALE"Utackia "wewe Juma usisahau ukirudi uje na miguu ya kuku,muhindi wa kuchoma weka na ndimu na pilipili nyingi,embe ng'ong'o,mihongo ya kukaanga na utumbo wa kuku usisahau kuweka ndimu na pilipili"
WW MKEO/MUME NI WA WAPI?ANAANGIZA VIPI?
Leo mwisho wa mwezi......... ukishapata mshahara breki ya kwanza nyumbani.........
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom