Wakitumbuliwa huendelea kulipwa mishahara yao?

Ack

Member
Dec 21, 2016
88
125
Habari wana JF

Mimi naomba kuuliza maana hapa nimekuta sehemu jamaa wanabishana na mimi nikashindwa kujua lipi ni lipi.

Kuna jamaa anasema waliokuwa waajiriwa wa serikali kama wakurugenzi, wakuu wa wilaya ma mikoa waliokuwa serikalini enzi za utawala wa kikwete eti wakitumbuliwa huwa wanaendelea kulipwa mishahara yao kama kawaida?

Naomba kusaidiwa.
 
Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
10,374
2,000
I think Wakurugenzi waliotumbuliwa wanaendelea kulipwa kama kawaida ila sina uhakika na maDC au maRC waliotemwa.
 
Waziri kivuli

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
2,987
2,000
Habari wana JF

Mimi naomba kuuliza maana hapa nimekuta sehemu jamaa wanabishana na mimi nikashindwa kujua lipi ni lipi.

Kuna jamaa anasema waliokuwa waajiriwa wa serikali kama wakurugenzi, wakuu wa wilaya ma mikoa waliokuwa serikalini enzi za utawala wa kikwete eti wakitumbuliwa huwa wanaendelea kulipwa mishahara yao kama kawaida?

Naomba kusaidiwa.
Yes,wanaendelea kulamba mshahara!Mara ya mwisho waliotumbuliwa kwa ujumla mishahara yao ilikuwa mil 300+ na ilikuwa ikilipwa kama kawaida!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom