Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Yaani mtu akatae promotion ambayo inakwenda kubadilisha maisha yake na ya Familia yake kwa ajili yako? Akatae kustaafu kwa Pensheni nzuri na ya uhakika kwa ajili yako? Akatae kuimarisha CV yake ambayo itamsaidia yeye na familia yake kwa ajili yako? Mna matatizo ya akili siyo bure,...