Wakisajili ni sawa, ikisajili Yanga eti inatakatisha fedha kupitia mpira

Manyani Fc wanasajili wachoma mahindi wa Congo wanatuma mapichapicha tu,mimi hata siwaelewagi.
 
[QUOTE="Abou Saydou, post: 36393754, member: 262367"
Dah kweli uto no uto duuuuh hii Kali aiseee hongereni kwa Uzi huo kwa hiyo mukoko katambulisha jezi
Kwa nini hauhoji kwanini amevaa jezi ya Yanga ?

Umejuaje huo ni jezi ya As Vita !? Mimi hapo nimeona jezi yenye namba 22 jina Mukoko (labda lengo ni kutangaza aliyesajiliwa anaitwa fulani na anavaa jezi namba fulani)
[/QUOTE]
 
Ndiyo maneno ya mwanasiasa mmoja shabiki wa Simba.
Imasikitisha sana.

Naona wameanza Kama waliyofanya kwa Manji baada ya Yanga kuanza kushusha vifaa vya maana.

Mtulie hivyo hivyo. Hiyo ilikuwa trailer. Movie yenyewe bado.

Yaani nyie na hako ka team kenu ndio mnatuambia Simba tutulie hivyo hivyo. Si tunawasubuli uwanjani tuu.
 
Ndiyo maneno ya mwanasiasa mmoja shabiki wa Simba.
Imasikitisha sana.

Naona wameanza Kama waliyofanya kwa Manji baada ya Yanga kuanza kushusha vifaa vya maana.

Mtulie hivyo hivyo. Hiyo ilikuwa trailer. Movie yenyewe bado.
Sio kila jambo ni ushabiki tu!! Lazima pesa ziwe zinajulukana vyanzo vyake, mfano madai ya yule morison kuwa aliingiziwa bank ya UBA, Kiasi cha $25,000,kutoka kwa mtu asiyemfahamu, kama pesa za usajiri, ikabidi aiagize bank, izirudishe kwa mhusika, kwani hafahamu chanzo chake!! Wachezaji wanasajiliwa tu, kifupi kila zama na watu wake wanaofaidi, awamu hii hiyo kampuni ndio muda wao wa kula matunda, kama ilivyokuwa zamani ile kampuni ya mafuta. Yaani sheria ile ya FIFA, ya financial fair play, ikija hapa kwetu hakuna timu itapona!!! Afadhari upande wa simba angalau kwa sasa pesa ya usajiri inajulikana anatoka wapi.
 
Siasa za mpira hizo. Morrison alishalishwa sumu na akina Hans Poppe. Asijue pesa inatoka wapi?
Reason kidogo
 
Hata kama ni hivyo, lakini usajiri wa timu unategemea watu binafsi, mishahara nayo ni hivyo hivyo, tu, huwezi kukubali wachezaji wako, karibia kila mtu mshahara wake, unalipwa na mdau fulani!!! Haijulikani zao la hizo pesa ni nini?!!!
 
Je Mooo... sio mtu fulani afanyae usajili na kulipa mishahara...?
 
Moo, pesa inajulikana inatoka kwenye kampuni zake inakwenda kwenye account ya timu, then zinawekwa kwenye account za wachezaji, sasa huko kwingine, inaonekana tu pesa imetoka kwa MBWIGA, imekwenda kwenye account ya mchezaji, huyo mbwiga hata mchezaji hamjui!! Kuna nini hapo?!!
 
Back
Top Bottom