Wakipinga kuvurugwa Upinzani Bungeni; CHADEMA watoka nje!

Nasikitika kusema wabunge wa CHADEMA, kwa mlolongo wa matendo yao,hawako kwa maslahi ya nchi hii......wako kwa maslahi yao binafsi na ya chama chao....ni watu wa kukurupuka,wasio heshimu mawazo ya wenzao na waliokosa mikakati sahihi ya ku-deal na wapinzani wao.....zaidi ni waongo kama CCM na CUF,ni wafitini na wachochezi sana.....kwa matendo yao si watu wa kuamini....lolote na liwe mradi wao washinde....hatufiki!!!! Bunge haliwezi kukaa kutimiza mapenzi ya CHADEMA watakalo ndo liwe,nasikitika kusema UPINZANI WENYE MASLAHI NA WATANZANIA HAUJAZALIWA TANZANIA........tuna wenye njaa na tamaa tu katika vyama vya siasa......nazidi kujihurumia na kuwahurumia watanzania,kwakuwa sasa nimeona hakuna mwema.......nakaribisha matusi.......ila sitashabikia nisichokiamini kwa kuogopa kutukanwa JF

Dada Michele,

Naona umebobea katika kutoa ushauri zaidi katika masuala ya urafiki. Siasa sio fani yako...!

How could you comment such words? Unaijua siasa wewe? Siasa ya upinzani daima huw ainaelekezwa katika jitihada za kutawala nchi yaani ubinafsi wa chama kimoja katika kushawishi wananchi ili wakipigie kura kuweza kuiongoza serikali.

Ni haki ya CHADEMA kutoka nje ya bunge ili kuonyesha msimamo wao au kuonyesha kutorishika kwao endapo itaonekana jitihada zao zinaingiliwa na CCM
 
Nasikitika kusema wabunge wa CHADEMA, kwa mlolongo wa matendo yao,hawako kwa maslahi ya nchi hii......wako kwa maslahi yao binafsi na ya chama chao....ni watu wa kukurupuka,wasio heshimu mawazo ya wenzao na waliokosa mikakati sahihi ya ku-deal na wapinzani wao.....zaidi ni waongo kama CCM na CUF,ni wafitini na wachochezi sana.....kwa matendo yao si watu wa kuamini....lolote na liwe mradi wao washinde....hatufiki!!!! Bunge haliwezi kukaa kutimiza mapenzi ya CHADEMA watakalo ndo liwe,nasikitika kusema UPINZANI WENYE MASLAHI NA WATANZANIA HAUJAZALIWA TANZANIA........tuna wenye njaa na tamaa tu katika vyama vya siasa......nazidi kujihurumia na kuwahurumia watanzania,kwakuwa sasa nimeona hakuna mwema.......nakaribisha matusi.......ila sitashabikia nisichokiamini kwa kuogopa kutukanwa JF

Michele, naamini nimuelewa kinachoendelea hapa siyo kwamba Chadema wapo kwa ajili ya maslahi yao... the question is KWANINI CCM inawalazimisha kuunda kambi ya upinzani? Hivi vipengere hawakuviona katika bunge lililopota na yaliyopita? Inatia hasira sana... any way time always heals!
 
Inabidi watu tuelewe kususa au kutoka nje ni njia ya kuonesha kutokukubaliana. Nadhani CDM wamefanya hilo kwa nia hiyo. Hawajasusia mkutano wa bunge bali upitishwaji wa kanuni. Anyway, it was such good drama
 
Topical,
Asante kwa uwongo wa mchana kweupe. Mungu akubariki sasa ninakuelewa fika na lengo lako liko hadharani pia
 
Thanks CDM mmerudi ndani na ujumbe umefika

Naomba muwe kama virus, penya ndani kaa kinmya anza kuwascrew hao manyang'au

remember 50% ya CCM hawako na chama twawala so they are just waiting for you to be strong and stable and they will flock to your party
 
Nasikitika kusema wabunge wa CHADEMA, kwa mlolongo wa matendo yao,hawako kwa maslahi ya nchi hii......wako kwa maslahi yao binafsi na ya chama chao....ni watu wa kukurupuka,wasio heshimu mawazo ya wenzao na waliokosa mikakati sahihi ya ku-deal na wapinzani wao.....zaidi ni waongo kama CCM na CUF,ni wafitini na wachochezi sana.....kwa matendo yao si watu wa kuamini....lolote na liwe mradi wao washinde....hatufiki!!!! Bunge haliwezi kukaa kutimiza mapenzi ya CHADEMA watakalo ndo liwe,nasikitika kusema UPINZANI WENYE MASLAHI NA WATANZANIA HAUJAZALIWA TANZANIA........tuna wenye njaa na tamaa tu katika vyama vya siasa......nazidi kujihurumia na kuwahurumia watanzania,kwakuwa sasa nimeona hakuna mwema.......nakaribisha matusi.......ila sitashabikia nisichokiamini kwa kuogopa kutukanwa JF
Lakini Bunge likitimiza matakwa na mapenzi ya CUF na CCM ni sawa ila matakwa na mapenzi CHADEMA sio sawa, kama chama cha upinzani kwanini unilazimishe niunde kambi ya upinzani na mtu fulani what is the motive behind? Kwanini unilazimishe? Tunafanya maamuzi makubwa kwa ajili ya manufaa ya kisiasa ya muda mfupi kwa maslahi ya watu fulani.
 
ccm wanajifanya mabingwa wa kuchakachua!! tutalianzisha siku moja watazimia wote mana wote wagonjwa wale
 
Nasikitika kusema wabunge wa CHADEMA, kwa mlolongo wa matendo yao,hawako kwa maslahi ya nchi hii......wako kwa maslahi yao binafsi na ya chama chao....ni watu wa kukurupuka,wasio heshimu mawazo ya wenzao na waliokosa mikakati sahihi ya ku-deal na wapinzani wao.....zaidi ni waongo kama CCM na CUF,ni wafitini na wachochezi sana.....kwa matendo yao si watu wa kuamini....lolote na liwe mradi wao washinde....hatufiki!!!! Bunge haliwezi kukaa kutimiza mapenzi ya CHADEMA watakalo ndo liwe,nasikitika kusema UPINZANI WENYE MASLAHI NA WATANZANIA HAUJAZALIWA TANZANIA........tuna wenye njaa na tamaa tu katika vyama vya siasa......nazidi kujihurumia na kuwahurumia watanzania,kwakuwa sasa nimeona hakuna mwema.......nakaribisha matusi.......ila sitashabikia nisichokiamini kwa kuogopa kutukanwa JF

kwani hiyo kanuni ilitungwa na CHADEMA? kwani waliotunga hiyo kanuni wakati wanaweka hilo neno "rasmi" walikuwa wanafikiria kitu gani? huyu kiongozi wa kambi ya upinzani ukimpa baraza kivuli la mawaziri ukamnyima usimamizi wa kamati za kudumu ni sawa na kumkata mikono, so i think CHADEMA wapo na kila haki ya kunung'unika na kususia hili badiriko la Kanuni.
 
Nasikitika kusema wabunge wa CHADEMA, kwa mlolongo wa matendo yao,hawako kwa maslahi ya nchi hii......wako kwa maslahi yao binafsi na ya chama chao....ni watu wa kukurupuka,wasio heshimu mawazo ya wenzao na waliokosa mikakati sahihi ya ku-deal na wapinzani wao.....zaidi ni waongo kama CCM na CUF,ni wafitini na wachochezi sana.....kwa matendo yao si watu wa kuamini....lolote na liwe mradi wao washinde....hatufiki!!!! Bunge haliwezi kukaa kutimiza mapenzi ya CHADEMA watakalo ndo liwe,nasikitika kusema UPINZANI WENYE MASLAHI NA WATANZANIA HAUJAZALIWA TANZANIA........tuna wenye njaa na tamaa tu katika vyama vya siasa......nazidi kujihurumia na kuwahurumia watanzania,kwakuwa sasa nimeona hakuna mwema.......nakaribisha matusi.......ila sitashabikia nisichokiamini kwa kuogopa kutukanwa JF

Best vipi? Mbona hii ni kama crap vile!
 
Mimi naungana na CHADEMA kwa asilima 100.

Hivi ni sheria za nchi gani zinaweza kulazimisha vyama kuungana? Tena vyama vya upinzani?

CUF tayari wao ni sehemu ya CCM, kwa maana wao wameungana na CCM kule ZAnzibar kuunda serikali ya umoja wa kitaifa, leo hii CUF wanataka kulazimisha waunganishwe katika chama cha upinzani, wapi na wapi? NIni faida ya kushinda vyama vingi kama huwezi kuunda serikali yako mwenyewe? This is to infiltrate CHADEMA.

Mimi naona Kanuni hii ya bunge imekiuka mipaka ya utawala bora na uongozi wa sheria...!

Anyway, sheria za kibabe kama hizi zitakuja kuwa-cost CCM hapo baadae wakati wao watakua ni chama cha upinzani, wala sio mbali, ni hapo 2015.
 
Topical,
Asante kwa uwongo wa mchana kweupe. Mungu akubariki sasa ninakuelewa fika na lengo lako liko hadharani pia

Kweli mkuu usikimbie!

Peleka kumbukumbu zako nyuma kidogo, nilikuuliza vipi kuhusu lipumba ukasema yeye nimetembea naye sana kwenye kampeni sijaona akisali (meaning siyo sala tano)

Ila ukasema cuf wako misikitini sana..nikakwambia kwani walioko misikitini si watanzania? ukaanza siasa tena..tulikuwa watatu ofisini kwako nikamwacha rafiki yangu kwakuwa sikuweza kuvumilia kama muislam! (ulikuwa hujui kama mimi ni muslim mpaka leo)
 
sasa hizi sarakasi zote zinatoka wapi mbona sheria ziko wazi??????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????/
14.
-(1) Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni atachaguliwa
chini ya utaratibu ulioainishwa kwenye fasili za Kanuni hii
zinazofuata.
(2) Wabunge wote wa Upinzani wanaweza kuunda Kambi Rasmi
ya Upinzani iwapo idadi yao itakuwa si chini ya asilimia kumi na
mbili na nusu ya Wabunge wote.
(3) Chama cha Upinzani hakitakuwa na haki ya kuchagua
Kiongozi wa Upinzani Bungeni, isipokuwa tu kama kina idadi ya
Wabunge wasiopungua asilimia kumi na mbili na nusu ya Wabunge
wote.
(4) Endapo kutakuwa na Vyama vya Upinzani zaidi ya kimoja
ambavyo kila kimoja kina Wabunge asilimia kumi na mbili na nusu
au zaidi, basi Chama chenye idadi kubwa zaidi ya Wabunge kuliko
vingine ndicho kitakuwa na haki ya kuchagua Kiongozi wa Kambi
Rasmi ya Upinzani Bungeni, lakini, ikiwa kutakuwa na vyama viwili
au zaidi vyenye idadi sawa ya Wabunge ambao ni zaidi ya asilimia
kumi na mbili na nusu, Wabunge wa vyama vinavyohusika
watachagua Kiongozi wa Upinzani Bungeni chini ya utaratibu
watakaokubaliana wenyewe.
15

.-(1) Chama chenye haki ya kumchagua Kiongozi wa Kambi Rasmi
ya Upinzani Bungeni kinaweza pia kuchagua Naibu Kiongozi wa
Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni.
(2) Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni atateua
Wabunge wa Chama chake au Wabunge wa Kambi Rasmi ya
Upinzani Bungeni ambao watakuwa wasemaji wakuu wa Kambi ya
Upinzani kwa Wizara zilizopo za Serikali.

Nasikitika kusema wabunge wa CHADEMA, kwa mlolongo wa matendo yao,hawako kwa maslahi ya nchi hii......wako kwa maslahi yao binafsi na ya chama chao....ni watu wa kukurupuka,wasio heshimu mawazo ya wenzao na waliokosa mikakati sahihi ya ku-deal na wapinzani wao.....zaidi ni waongo kama CCM na CUF,ni wafitini na wachochezi sana.....kwa matendo yao si watu wa kuamini....lolote na liwe mradi wao washinde....hatufiki!!!!

Kamanda argument zako zinaweza kuwa valid but not sound lakini kwa sababu ama kwa makusudi ama bahati mbaya umeshindwa kabisa kuzi-codify au kutoa inferences to support them automatically zinakuwa invalid and not sound. La sivyo give them supporting materials, badala ya kujaza maneno ya kiswahili tu kwa ajili ya kushindilia badala ya kujenga hoja.

Bunge haliwezi kukaa kutimiza mapenzi ya CHADEMA watakalo ndo liwe,nasikitika kusema UPINZANI WENYE MASLAHI NA WATANZANIA HAUJAZALIWA TANZANIA........tuna wenye njaa na tamaa tu katika vyama vya siasa......nazidi kujihurumia na kuwahurumia watanzania,kwakuwa sasa nimeona hakuna mwema.......nakaribisha matusi.......ila sitashabikia nisichokiamini kwa kuogopa kutukanwa JF

Lini bunge liliacha kukaa kutimiza matakwa ya CCM kama ilivyofanyika leo. Most of the time bunge has been used to make political expediency decisions, hesabu yote kubadili vifungu vya katiba kama vile rais kuteua wabunge 10, running mate kwenye uchaguzi mkuu, rais wa Zanzibar kuwa mjumbe wa baraza la mawaziri badala ya makamu wa kwanza wa rais, na mengine mengi ukitaka nitakupatia hapa.
!!!
Halafu mbona unajishtukia kuwa utatukanwa, tayari unajua kuwa umeweka pumba hapa nini. Just be urself men!!!! Maana ya upinzani wenye maslahi ni ipi na unapaswa kuwaje huo
 
Michele, naamini nimuelewa kinachoendelea hapa siyo kwamba Chadema wapo kwa ajili ya maslahi yao... the question is KWANINI CCM inawalazimisha kuunda kambi ya upinzani? Hivi vipengere hawakuviona katika bunge lililopota na yaliyopita? Inatia hasira sana... any way time always heals!

Inatia hasira ila si suluhisho kutoka nje ya bunge,kuna kutofautiana na kukubali kutofautiana,CCM bado ni wengi bungeni na kama ulivyoona kuna mapungufu ya kanuni.....CCM are taking advantage ya kanuni,zilizoundwa na wabunge wakiwemo hao wa CHADEMA hata kama CCM walikuwa wengi,lakini CHADEMA walishiriki na hawakutoka nje ya bunge.....wao wajijenge wawe wengi kuliko CCM wafanye mabadiliko ya kanuni lakini hili la kupindisha ukweli na kulazimisha maamuzi halitawezekana......leo humtambui Rais,kesho uliibiwa kura,kesho unasusia hotuba ya rais,mara unamtambua,husikilizi hotuba unakuja kuijadili.....what is wrong.......hawana consistency...na hii inafanya watu kukosa imani.......
 
Back
Top Bottom